Nimeshawapa taarifa wamesema watanitumia ingawa niliwaambia nina mradi nakwenda kuanzisha Zanzibar hivyo ili nipate faida ya kueleweka lazima Capital iwe kubwa hivyo pension pakee haitoshi(Wangejua kuwa nakuletea wewe hiyo pension sijui kingetokea nini). Kwahiyo uhakika wa nauli ninao kutoka kwa wajukuu π πTena ulifikirie kwa kina maana ndicho kinachokwenda kutokeaπ€ͺπ€ͺ
Mkuu hivi hizi unafanyeje....My cryptos going high [emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1769710
Hahaha aise huo mwimbo mbona wa juzi sana Mdogo wangu mie muhengaHii ni kwa wahenga sie tu kuweza kukumbikia enzi [emoji3][emoji3][emoji3]
Akina Noelia Nuzulati Saint Anne Chakorii Karma Heaven Sent hawawezi elewa lolote ππ
Ninapata Tabu Moyoni Mwangu Mimi Kwa Kweli,Nimekupenda Wewe Lakini Hunijali Mamaa, Tumekuwa Sisi Wawili Kama Sinema Hapa Nyumbani Kwetu Kila Siku Kelele, Lakini Kwa Vile Eeh, Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako, Mwenye Sauti Ni Wewe, Naogopa Fedheha Mama Uni Eeh Naona Aibu Kweli Mpenzi Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.
Lakini Kwa Vile Eeh Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako Mwenye Sauti Ni Wewe Eeh , Naogopa Fedheha Mama Uni Eeeh, Naona Aibu Kweli Mpenzi, Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.
Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2(Aibu),
Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza (Aibu), Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea. Ingawa Nimekuoa Kwa Pesa Na Pendo Langu Eeh Tabia Zako Zimenishinda Aah Nasikitika.
Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2,
Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza, Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea, Hajulikani Nani Mke Ndani Ya Nyumba Yetu, Hajulikani Nani Mume Aah Nasikitika.
Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaaa X2
CC
Mshana Jr
Wakati wimbo huo unatoka wewe haukuwa umezaliwa.Hahaha aise huo mwimbo mbona wa juzi sana Mdogo wangu mie muhenga
Huyu mama ukiondoa upako wa kanisani inaonekana atakuwa na upako mzuri sana wa chumbani.
[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]Wakati wimbo huo unatoka wewe haukuwa umezaliwa.
Mwaka 1986 ndiyo umetoka, enzi hizo tunakwenda kujirusha viwanja wa DDC park.
Wakati huo nampeleka Bibi yako pale Kama njia ya kumwomba msamaha, sio nyie mkikoseana mnahama nyumba na kwenda kusimuliana Saloon [emoji23][emoji23][emoji85][emoji1322]
Uwe unakuja nikusimulie Vita vya Maji Maji, nakwambia tuliwapiga wajerumani mpaka wakakimbia πππππ»[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
Sawa Babu
Haya niambie umeshafika znz ama Bado uko unaogeleaHii ni kwa wahenga sie tu kuweza kukumbikia enzi πππ
Akina Noelia Nuzulati Saint Anne Chakorii Karma Heaven Sent hawawezi elewa lolote ππ
Ninapata Tabu Moyoni Mwangu Mimi Kwa Kweli,Nimekupenda Wewe Lakini Hunijali Mamaa, Tumekuwa Sisi Wawili Kama Sinema Hapa Nyumbani Kwetu Kila Siku Kelele, Lakini Kwa Vile Eeh, Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako, Mwenye Sauti Ni Wewe, Naogopa Fedheha Mama Uni Eeh Naona Aibu Kweli Mpenzi Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.
Lakini Kwa Vile Eeh Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako Mwenye Sauti Ni Wewe Eeh , Naogopa Fedheha Mama Uni Eeeh, Naona Aibu Kweli Mpenzi, Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.
Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2(Aibu),
Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza (Aibu), Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea. Ingawa Nimekuoa Kwa Pesa Na Pendo Langu Eeh Tabia Zako Zimenishinda Aah Nasikitika.
Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2,
Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza, Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea, Hajulikani Nani Mke Ndani Ya Nyumba Yetu, Hajulikani Nani Mume Aah Nasikitika.
Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaaa X2
CC
Mshana Jr
sasa huyo binti wa miaka 24 ni nani sasa.we mzee Hebu niletee hizo fweza tafadhaliNimeshawapa taarifa wamesema watanitumia ingawa niliwaambia nina mradi nakwenda kuanzisha Zanzibar hivyo ili nipate faida ya kueleweka lazima Capital iwe kubwa hivyo pension pakee haitoshi(Wangejua kuwa nakuletea wewe hiyo pension sijui kingetokea nini). Kwahiyo uhakika wa nauli ninao kutoka kwa wajukuu π π
Saivi nimewaandaa wanasheria wangu waniandikie Wosia kabisa, you never know Kizee miye wa miaka 78 kwa binti wa miaka 24 kifuatacho ITVππ
Kweli mimi wa kunifananisha na wadogo zangu?Hii ni kwa wahenga sie tu kuweza kukumbikia enzi [emoji3][emoji3][emoji3]
Akina Noelia Nuzulati Saint Anne Chakorii Karma Heaven Sent hawawezi elewa lolote ππ
Ninapata Tabu Moyoni Mwangu Mimi Kwa Kweli,Nimekupenda Wewe Lakini Hunijali Mamaa, Tumekuwa Sisi Wawili Kama Sinema Hapa Nyumbani Kwetu Kila Siku Kelele, Lakini Kwa Vile Eeh, Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako, Mwenye Sauti Ni Wewe, Naogopa Fedheha Mama Uni Eeh Naona Aibu Kweli Mpenzi Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.
Lakini Kwa Vile Eeh Tunaishi Hapa Kwa Wazazi Wako Mwenye Sauti Ni Wewe Eeh , Naogopa Fedheha Mama Uni Eeeh, Naona Aibu Kweli Mpenzi, Hapa Ni Kwa Wakwe Zangu Sisemi Lolote Fanya Upendavyo.
Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2(Aibu),
Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza (Aibu), Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea. Ingawa Nimekuoa Kwa Pesa Na Pendo Langu Eeh Tabia Zako Zimenishinda Aah Nasikitika.
Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaa X2,
Ninaporudi Kazini Majirani Huzima Redio Ili Wasikilize Tunavyozoza, Wametupachika Majina Wewe Pwagu Na Mimi Pwaguzi Kwa Vile Imekuwa Ni Mazoea, Hajulikani Nani Mke Ndani Ya Nyumba Yetu, Hajulikani Nani Mume Aah Nasikitika.
Hata Mwezi Bado Ooh, Tangu Tuoane Eeh X2, Kelele Kila Siku Ndani Ya Nyumba Yetu Mamaaa X2
CC
Mshana Jr
Nimeambiwa leo bahari imechafuka siruhusiwi kupiga mbizi, kesho nitakuwa Zanzibar na fuko langu la Note πΎπ₯πΊπ»Haya niambie umeshafika znz ama Bado uko unaogelea
Acha kujifanya Mhenga wakati hata 31 hujafika ππππ»Kweli mimi wa kunifananisha na wadogo zangu?
Kesho nitakuwa Zanzibar, utaniambia unahitaji siku ngapi kumaliza Pension yangu ππππ»We
sasa huyo binti wa miaka 24 ni nani sasa.we mzee Hebu niletee hizo fweza tafadhali
UsijaliMuandiko tyuuh, wallah naja unifundishe. [emoji8][emoji8]