Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Mbona umechagua timu mbaya hivyo, nilikuwa najiuliza kwanini haunenepi licha ya misoltojo yote ile kumbe ni Timu yako inakukondesha!😜🙈🏃🏻(Jokes).Yangaaaaaa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
Tubariki na picha mpendwa
[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1758589View attachment 1758590
Nasubiria watu walale niweke moja 😜😜Tubariki na picha mpendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona umechagua timu mbaya hivyo, nilikuwa najiuliza kwanini haunenepi licha ya misoltojo yote ile kumbe ni Timu yako inakukondesha![emoji12][emoji85][emoji1322](Jokes).
Btw Hongereni [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Thubutuuuu, huo ubonge nyanya utausikia kwa akina Miss Natafuta tu 😀😀😀🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga baba lao[emoji108][emoji108][emoji108]
Yawezekana hujaona selfie zangu za hivi karibuni eeh! Mimi bonge nyanya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thubutuuuu, huo ubonge nyanya utausikia kwa akina Miss Natafuta tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji119]
Karibu Msimbazi upate raha [emoji123][emoji85][emoji1322][emoji1322]
Nitaaminije wakati juzi kanisani nilikuona wakati unaimba sauti ya pili🙊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama huamini sasa sijui nifanyeje!
Siwezi shabikia mikia Mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]Nitaaminije wakati juzi kanisani nilikuona wakati unaimba sauti ya pili[emoji87]
Wewe ni zaidi ya Rihanna[emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1758589View attachment 1758590
Morning kakaSnap it.Show it.
View attachment 1758333
Kabisaa yaani washkaji tu ila kunjanjuana nooo! aseehh!yaani Mimi mwanaume akiwa na six packs au sijui mweupee!yaani hata kushtuka Mimi sishtuki.Mimi sura personal ndo napendaga kuhusiana nao moyo mpk mtu akiniona Niko nae anauliza!!!ndo huyuu!??mi ndo naona rahaaaaa....[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]kitambi kidogo,mweusi tiiiii!km simtank!bichwaa hilooo awe mfupi au mrefu I don't care..wawe washkaji zako tu! Wanawake sijui mna nini aisee
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]si kidogo awe kaka tuJack Palladino sijui nikufanye tu kuwa kaka yangu[emoji16]
Kuwa mchumba wangu naona nitakuja kufa kwa presha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi picha enzi za Mayfair!
Umeamkaje dada lao?Morning kaka
Dah, afadhali na sisi wenye sura personal sasa tumekumbukwa[emoji23]. Ila huo ushkaji hata sio poa, umpe tu kwa kweli ndio ushkaji utakuwa na nguvu.Kabisaa yaani washkaji tu ila kunjanjuana nooo! aseehh!yaani Mimi mwanaume akiwa na six packs au sijui mweupee!yaani hata kushtuka Mimi sishtuki.Mimi sura personal ndo napendaga kuhusiana nao moyo mpk mtu akiniona Niko nae anauliza!!!ndo huyuu!??mi ndo naona rahaaaaa....[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]kitambi kidogo,mweusi tiiiii!km simtank!bichwaa hilooo awe mfupi au mrefu I don't care