Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahsante Mkuu kwa haya mawaidha.

Naendelea kusoma the slides, zinanijenga!
[emoji120][emoji120][emoji120]



Tenzi za Rohoni_Yesu kwetu ni rafiki
Una dhiki ya maonjo?
Una mashaka pia?
Haifai kufa moyo
Dua atasikia


Hakuna mwingine mwema
Wa kutuhurumia
Atujua tu dhaifu
Maombi asikia.
[emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444]
 
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]heels nimevaa sana,ila kwa sasa poo kwanza!
Halafu kwa nini ulimcheka Dada we mtoto loh!
 
Duuuh una moyo. Ila pole asee, hiyo picha na clip ndio itaendelea kukupa machungu.
Ukiweza delete kila kitu chake as long as hamna kitu kinachokuunganisha nae (mfano mtoto, assets).
Haya Mambo yanaumizaga Ila inakubidi iendelee na maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…