Selfika na JF: Snap it. Show it

Ely hivi na wewe ni type ya kina naniliu? Maana kuna comments zako kuhusiana na hayo mambo zinaonesha na weye ni wale wale au nimekosea?

Kuna muda unaonekanaga muaminifu saaanaaa tena saaanaaa yaani haunaga hayo mambo ila kumbe mmhh! Na wewe unaonekana si haba aiseee!
 
Mwaya huyo mwenzio hayuko serious anakuzingua tu anapenda matani. Mzoee usimchukulie serious.

Ni mwanaume ila hajaoa kazi kutusumbua tu mama zake humu JF tunaoweza kumzaa huku tunavuta sigara
Niachieni anko frog wetu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Nilitaka nikusupport na heel, sasa kila nikicrop kapicha najikuta mlonjo ndiyo unajaa kwenye screen mweeeh
Usinidanganye basi...watu wa huko mnamiguu sana hata wakati mwingine ninafananishwa na watu mbeya na sio Kilimanjaro loh.

Sissy fanya namna unisapoti bhana.
I zoom out,I screenshot ndipo uicrop
 
Tatizo mme wangu Lizzy hanifikishi kileleni.
 
Usinidanganye basi...watu wa huko mnamiguu sana hata wakati mwingine ninafananishwa na watu mbeya na sio Kilimanjaro loh.

Sissy fanya namna unisapoti bhana.
I zoom out,I screenshot ndipo uicrop
Mimi nimechanganya makabila, afu bi mkubwa ana mguu wa bia; sielewi ilikuwaje nikarithi huu mlonjo wa baba khaaa. Yaani kamlonjo kalivyo karefu, kila nikijipinda kukacrop sijui kuzoom out ndiyo kanaishia kujaa kwa screen, kiatu hakionekani. Ngoja niendelee kupambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…