Hadithi inasisimua sana.Haki Morogoro ni kubwa kuliko Tanzania.jamani nilikaa kwenye gari kutoka dar to moro Town..moro Town mpka ifakara,ifakara tu mlimba.mlimba tu ndani ndani huko..jamani jamani waaaahiii uvumilivu ukanishinda ikabidi nimuulize jirani yangu “samahani dada eti tunaenda mbinguni”kha!!
Morogoro ndani ndani huko kama barabara ni mbovu aise ni bora kusubiri jua liwake barabara ichangamke kwanza maana...
Sasa ngoja nikuchekeshe[emoji16][emoji16][emoji16] siku hiyo akati narudi mvua ilikuwa inanyesha niko kwenye boda natoka kijijini huko kwenda mlimba stand nikastuka boda anapunguza mwendo nikamuuliza Chief Vipi mbona umepunguza mwendo?akasema dada kuna mteremko na utelezi mkali hatua chache ..hapo mvua imekata kama dk 10 kumbuka[emoji16][emoji16][emoji16]hata kabla sijamaliza kutafakari itakuwaje...nikajikuta niko chini na udongo ulivyo wa mfinyanzi...loh hapo Naendelea kuserereka tu usisahau niko juu ya kilima...napiga jicho kushoto na kulia simuon boda wala boda yenyewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ikabidi sasa nitumie mbinu za kivita na za kimkakati kuzuia kuserereka,kibegi kipo juu juu kama antena [emoji16][emoji16][emoji16](jamani...)
Nikanasa,[emoji12][emoji12][emoji12]niko katikati ya giza totoro kumi na moja kasoro hiyo katikati ya mlima ikabidi nimuombe boda nae atumie mbinu za kivita ili asiendelee kuserereka akaniacha mwenyewe kilimani [emoji23][emoji23][emoji23] wooooiii namkuta chini kule amekula tope matata sana hakuna wa kumpa mwenzie lawama.ilibidi kubadilisha nguo nilipofika stand[emoji1][emoji1][emoji1]na huo ndo ulikuwa utalii wangu wa ndani..khooooo
Tuondelee kuomba uzima na afya tutakuja kuonana nao tu.[emoji3344][emoji3344]
Huwa sifurahishwi na watu kugombana gombana aise..kama mmeelewana ni vyema kabisa binafsi ninalifurahia hilo..ona jinsi ilivyovyema na kupendeza...ndugu wakae pamoja kwa umoja.[emoji2935][emoji2935][emoji2935]
Ahsante sana mama amchungaji
Nakumbuka mwaka juzi tulifanya utalii wa ndani kutembelea udizungwa,kiukweli mkoa wa Morogoro ndio mkoa pekee naamini unastahili kugawanywa.Hadithi inasisimua sana.
Ila daaa!! Mkoa wa Morogoro ni mkubwa sana.
Tumetoka Dar saa 12 asubuhi tukaingia Moro mjini saa 2:00. Ifakara saa 7:30, Mahenge saa 1 usiku, Mwaya saa 4, Iputi saa 5, Ilonga Selous Game Reserve saa 6:30 usiku.
Mkoa huo huo mmoja unatembea masaa kibao[emoji26][emoji26]
HahahaAhsante sana mama amchungaji
Mwenyewe nimekumiss hadi najisikia kuumwa
Km mnaenda Sumbawanga baasi nikiambiwa nauli kutoka Moro hadi Dar elf35 naguna!kumbe ni sawa baasi!Hadithi inasisimua sana.
Ila daaa!! Mkoa wa Morogoro ni mkubwa sana.
Tumetoka Dar saa 12 asubuhi tukaingia Moro mjini saa 2:00. Ifakara saa 7:30, Mahenge saa 1 usiku, Mwaya saa 4, Iputi saa 5, Ilonga Selous Game Reserve saa 6:30 usiku.
Mkoa huo huo mmoja unatembea masaa kibao[emoji26][emoji26]
Haha!mambo vipi!upo kila sehemu
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama Simara!safi dear za wewe? yaani nipo sehemu zote
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Nimeipenda mwenyewe....[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]View attachment 1748906
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
kweli mama mchungaji we cheka tu lkn umemisika 😅
Kiukweli nikiulizwa Tanzania na Morogoro ipi ni nchi😁😁nitasema Morogoro(kidding..)ila tuache masihara bhana nafikiri Morogoro Ndio mkoa mkubwa sana Tanzania jamani..Hadithi inasisimua sana.
Ila daaa!! Mkoa wa Morogoro ni mkubwa sana.
Tumetoka Dar saa 12 asubuhi tukaingia Moro mjini saa 2:00. Ifakara saa 7:30, Mahenge saa 1 usiku, Mwaya saa 4, Iputi saa 5, Ilonga Selous Game Reserve saa 6:30 usiku.
Mkoa huo huo mmoja unatembea masaa kibao[emoji26][emoji26]
Morogoro ni kijani, kijani kabisaKiukweli nikiulizwa Tanzania na Morogoro ipi ni nchi[emoji16][emoji16]nitasema Morogoro(kidding..)ila tuache masihara bhana nafikiri Morogoro Ndio mkoa mkubwa sana Tanzania jamani..
Ila kwa mchana ni pazuri sana unafanya utalii wa ndani..japo barabara ni changamoto..
Suala la kutunza mazingira Morogoro ni la kimila.Nakumbuka mwaka juzi tulifanya utalii wa ndani kutembelea udizungwa,kiukweli mkoa wa Morogoro ndio mkoa pekee naamini unastahili kugawanywa.
Yaan tumetoka Dar saa 2,kule tunaingia saa 1 jioni.
Ila nawapongeza sana waruguru kwa kutunza uoto wa asili,sema bado swala la barabara ni tatizo kubwa,yaan barabara ya kuunganisha wilaya moja kwenda nyingine inamagorongo!
Sijui wabunge wao kama wanajali sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haki Morogoro ni kubwa kuliko Tanzania.jamani nilikaa kwenye gari kutoka dar to moro Town..moro Town mpka ifakara,ifakara tu mlimba.mlimba tu ndani ndani huko..jamani jamani waaaahiii uvumilivu ukanishinda ikabidi nimuulize jirani yangu “samahani dada eti tunaenda mbinguni”kha!!
Morogoro ndani ndani huko kama barabara ni mbovu aise ni bora kusubiri jua liwake barabara ichangamke kwanza maana...
Sasa ngoja nikuchekeshe[emoji16][emoji16][emoji16] siku hiyo akati narudi mvua ilikuwa inanyesha niko kwenye boda natoka kijijini huko kwenda mlimba stand nikastuka boda anapunguza mwendo nikamuuliza Chief Vipi mbona umepunguza mwendo?akasema dada kuna mteremko na utelezi mkali hatua chache ..hapo mvua imekata kama dk 10 kumbuka[emoji16][emoji16][emoji16]hata kabla sijamaliza kutafakari itakuwaje...nikajikuta niko chini na udongo ulivyo wa mfinyanzi...loh hapo Naendelea kuserereka tu usisahau niko juu ya kilima...napiga jicho kushoto na kulia simuon boda wala boda yenyewe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ikabidi sasa nitumie mbinu za kivita na za kimkakati kuzuia kuserereka,kibegi kipo juu juu kama antena [emoji16][emoji16][emoji16](jamani...)
Nikanasa,[emoji12][emoji12][emoji12]niko katikati ya giza totoro kumi na moja kasoro hiyo katikati ya mlima ikabidi nimuombe boda nae atumie mbinu za kivita ili asiendelee kuserereka akaniacha mwenyewe kilimani [emoji23][emoji23][emoji23] wooooiii namkuta chini kule amekula tope matata sana hakuna wa kumpa mwenzie lawama.ilibidi kubadilisha nguo nilipofika stand[emoji1][emoji1][emoji1]na huo ndo ulikuwa utalii wangu wa ndani..khooooo
Tuondelee kuomba uzima na afya tutakuja kuonana nao tu.[emoji3344][emoji3344]
Huwa sifurahishwi na watu kugombana gombana aise..kama mmeelewana ni vyema kabisa binafsi ninalifurahia hilo..ona jinsi ilivyovyema na kupendeza...ndugu wakae pamoja kwa umoja.[emoji2935][emoji2935][emoji2935]
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hakika sijawahi kujua kama ninachoandika wakati mwingine kina kuwa kimekaa kikomedi[emoji1][emoji1]
[emoji1635][emoji1635][emoji122][emoji122]
Oh Karibu tena dearNimerudi sasa hivi. Siondoki labda litokee jambo ila kwa sasa nipo humu