Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi Wakuu ukikutana na jaribu la kutaka kuchepuka na mke wa mtu nini kifanyike?

Naona haka kapepo kananiandama now!

Nisaidieni maana nakapinga ila kapo tu!
Ikimbie sana dhambi hiyo kwa kadri inavyowezekana. Madhara yake kiroho ni mabaya sana. Utajiletea mikosi na nuksi zisizoisha maishani mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…