Selfika na JF: Snap it. Show it

Nataka nizipate, yesu moyoni pesa mfukoni.
Ukishampata Yeye kwanza hayo yote utazidishiwa

Fuata kanuni za utoaji,,mjaribu kwa njia hiyo..uone kama hajakufungulia milango ya baraka.


Weka kwa wingi Neno lake moyoni mwako..
Ukishaliweka ndipo utakapoweza utakalo lote naye Atakupa sawasawa na Yohana 15:7
Fanya kazi, Mungu hashushi pesa tu Kama mvua..lazima ufanye kasi
 
Si ilikua announced since lini uko ata sikumbuki vizuri kwamba kwanzia 02 April kutakuwa kuna mabadiliko ya vifurushi,
Na badiliko likifanyika linatakiwa kukaa miezi mitatu kabla ya kufanyika badiliko lingine.
Ujinga huu wallah.

Kwahiyo furaha yao ni kutuona sie twakosa raha??
Yaani watukoseshe raha hadi mtandaoni!!

Hilo Jimbo angeshinda tu Makonda
 
Wanaorogaga huwa wanaanza hivi hivi, be carefull [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe ni kwa namna hii nitaweka utii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…