Tangu comment ya mwanzo nilielezea uchumba kufa...comment hiyo nikasema unakufa nikimaanisha uchumba unakufa japo nilitamani umalize mwaka maana tulianza uchumba May last year..
Sema sikuweka sentensi vizuri ikawa sentensi Tata
Maana yangu si hiyo waliyoimaanisha wao