Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila siasa jamani
 
Sio kweli. Wewe ni kati ya 35-37 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niweke mguu wangu hapa uone??

Kwetu hakuna anayevaa hiyo namba na mimi ndio navaa namba ndogo kuliko wote[emoji1787]


Hiyo 35 mbona namba ya watoto wachanga??
 
ww ambae huywi una nyumba ngapi isyesye.......2[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Sina hata kibanda Cha kuku..
Lakini ningepata hiyo nafasi ya kuwa na hizo hela ambazo nyie mnanywea pombe,,nadhani ningekuwa na kibanda Cha kuku Sasa.
 
ww ambae huywi una nyumba ngapi isyesye.......2[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Biblia inasema hapa duniani tunapita tu. Sasa mkuu wewe unaweza kujenga nyumba njiani?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…