Anko frog kama ulikuwa humpendi JPM hayupo sasa amelala zake na hatoamka tena.tumepata Madam Amiri Jeshi mkuu amekuja na Baraza lake bado unaendekeza chuki!!
Napata ukakasi kidogo yawezekana maslahi yako binafsi yaliguswa na JPM lakini ndo hadi na SSH na baraza lake???
Anko frog punguza chuki basi aise
ukiendekeza chuki sana nyongo itakupasukia tumboni huko.angalia hiyo chuki yako usiwaambukize na watoto maana wataishi maisha magumu mnoo
JPM nitamuweka kila siku,kila saa moyo wangu utakapoamua.