Kwani mwenzio alitekelezwa? Njoo Pekupeku unisalimie basi. Hayo mambo ya kukimbiana na kibendi ni mambo ya vijana.Akuuu zeeka mwenyewe babu wewe..kama uliweza kunidanganya kwa kukaa baharini kipindi chote hicho,utashindwa kunitelekeza na kibendi?!!akuuuuuuuuuuu
Aise kama nilishawahi kuiona hii sehemu..loh.View attachment 1739786
Nimetulia hapo ☝
Basi hamkawii kutuachia watoto na ugomvi wa mirathi..aku mieKwani mwenzio alitekelezwa? Njoo Pekupeku unisalimie basi. Hayo mambo ya kukimbiana na kibendi ni mambo ya vijana.
Miye na Uzee huu hata kukimbia siwezi 🙊😅
My big Man i see you,, what a pleasure to have kid
😅😅 usiwe na wasiwasi nami.Basi hamkawii kutuachia watoto na ugomvi wa mirathi..aku mie
Tena nyie mnakimbiaga hata kwenye mbigiri
Brother hongera sana aiseh.naomba nafasi ya kuunga undugu na vijana wangu..queen Joyce awe mwali wangu mzazi mwenzangu😊😊Miss Joyce my daughterView attachment 1739857
Wape wale tu wasijali...ila waambie nikikutia kiganjani kuchomoka kwako ni mpka pension ikate😆😆😆😆😅😅 usiwe na wasiwasi nami.
Wazee tuna busara, ndiyo maana tuliwatungia msemo wa Chelewa chelewa utakuta mwana si wako
Zanzibar kubwa hii ati, wasije kunilia pension yangu kabla mlengwa wewe hujazila. 😂😂🏃🏻
📌mchoraji anione ofisiniI love drawing..I love artView attachment 1739873
Hahahahahhaaaa chakorii kwanza sorry kwa kua kimya as u no maandalizi ya kumpokea first kid I was full of mixed feelings ,, huyu jichagulie kijana gani wako amchukueBrother hongera sana aiseh.naomba nafasi ya kuunga undugu na vijana wangu..queen Joyce awe mwali wangu mzazi mwenzangu[emoji4][emoji4]
Kwa heshima na taadhima naomba nichukue fursa hii kukuomba umtoe mwali wangu huku selfika asijeibiwa bureeee...ikikupendeza lakini [emoji1635][emoji1635]
Mkuu ushaletewa ngombeMiss Joyce my daughterView attachment 1739857
Upepo huu na kibaridi hiki kinachochea babu miye kuhitaji uwepo wako.Wape wale tu wasijali...ila waambie nikikutia kiganjani kuchomoka kwako ni mpka pension ikate😆😆😆😆
Bado mkuu hahahaaMkuu ushaletewa ngombe
Usijali Bill nakuelewa..hiyo furaha naielewa sana aiseh.Hahahahahhaaaa chakorii kwanza sorry kwa kua kimya as u no maandalizi ya kumpokea first kid I was full of mixed feelings ,, huyu jichagulie kijana gani wako amchukue
Unaona sasa mambo yako...Bado mkuu hahahaa
Hhahaa nishafuta mkwe itifaki imezingatiwaUnaona sasa mambo yako...
Masta gani tenaa😁Usijali Bill nakuelewa..hiyo furaha naielewa sana aiseh.
Imeisha hiyoooo..akianza shule ada italipwa huku..
Haya idelete basi hiyo picha kuna masta hapo chini kaanza kuulizia habari ya mahari.ninawivu mwingi ujue
Achana na tax.Upepo huu na kibaridi hiki kinachochea babu miye kuhitaji uwepo wako.
Chukua tax uje tu 🙊🏃🏻