Akuu...Jamani dear hiyo ni mbinu yangu ya kujitoa kwa goli In case ukarudi nyumbani ukiwa unakula malimao na ndimu baada ya makutano yetu. πππππ»
Hebu hukoooAsili yangu.
Unahofia kuchokozeka!?
Unaogopa nini jirani? Fanya kama K lyinn unipe watoto wa Uzeeni wale Pension. Baba yao jua ndiyo linazama hivyo πππ»ππ»Akuu...
Nakusubiri ujue hapa Peku peku, alafu nimejiandaa haswa ππππ»π π π wacha bhana
Mambo vipi shemudarling....
Huko peku peku ndo wapi!Nakusubiri ujue hapa Peku peku, alafu nimejiandaa haswa ππππ»
Akuuu zeeka mwenyewe babu wewe..kama uliweza kunidanganya kwa kukaa baharini kipindi chote hicho,utashindwa kunitelekeza na kibendi?!!akuuuuuuuuuuuUnaogopa nini jirani? Fanya kama K lyinn unipe watoto wa Uzeeni wale Pension. Baba yao jua ndiyo linazama hivyo πππ»ππ»
Ni nzuri sana shemegiiidarling..za kwakoMambo vipi shemudarling....
Za kwangu/ya kwangu njema/salama kabisa shemeji yangu mzuriNi nzuri sana shemegiiidarling..za kwako
Nafurahi kusikia uko salama shemeji yangu wa kienyejiZa kwangu/ya kwangu njema/salama kabisa shemeji yangu mzuri
Hahaha.....@Chakorii bhanaNafurahi kusikia uko salama shemeji yangu wa kienyeji
Nimefanya nini shemeji wa kienyejiHahaha.....@Chakorii bhana
Haha...eti shemeji wa kienyejiNimefanya nini shemeji wa kienyeji
Jioni uweke dinner ya kinyeji tafadhaliHaha...eti shemeji wa kienyeji
Hahaha ndiyo kalumbuyangu note 9......karma hii abechede nimewaza unamaanisha nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni A series sio??View attachment 1739573
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app