Microgynon
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 853
- 1,068
Kwani wanaokaa tiba unadhani hawateremkii ujasi?, tulikuwa twaenda sana hata mida ya jioni mkuuHahaha!
Kumechangamka kichizi..
Mtu anaona bora akae coed kuliko tiba..
Akili za shule hizi[emoji16]
Tutaaminije🤣[emoji134][emoji134]Kwan we uoni watu wanaongelea sare jmn
We sema tu utawa best man au braita[emoji12][emoji12][emoji12]
Hyo ni fasta sana wifi haichukui muda mbona uko uko kwenye fungate tunatoka tusha maliza kils kitu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Afadhali
Niwe shangazi[emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah me nimevua maan nimeona kuvuriwa navuliwa lakn moyo unasua sua mpka nimeshika mwenyewe ndoano nikalenga kile nataka[emoji5][emoji5][emoji5]Ww umevua au umevuliwa?
Ooh no no no no [emoji23][emoji23][emoji23] kwan mpka uone jmanTutaaminije[emoji1787]
Wanateremka ila kutokea coed ni jirani kuliko kutokea tiba ..nilitaka kumaanisha hivyo .Kwani wanaokaa tiba unadhani hawateremkii ujasi?, tulikuwa twaenda sana hata mida ya jioni mkuu
Woyoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hyo ni fasta sana wifi haichukui muda mbona uko uko kwenye fungate tunatoka tusha maliza kils kitu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hahaha ila chakula Cha cafe siyo kabisa aiseee[emoji23][emoji23][emoji23]wakurgwa siku hzi wansema wanasoma Udom campus ya Ujasini..
Make cafteria wamepasahau kabisaa
Tena sio katoto watoto maan mapacha hapa ni wakugusa wallah mtapata faida sana kunipata mimi hamto juta kbsaaaWoyoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangazi mie nasuburi katoto[emoji7][emoji7][emoji126]
[emoji120]Asante mkuu
Tuanze na yako mpendwa[emoji7]Chat na picha
[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Tena sio katoto watoto maan mapacha hapa ni wakugusa wallah mtapata faida sana kunipata mimi hamto juta kbsaaa
Ukiolewa kwenye family inayo kupenda na kukufurahia utakiwi kuzubaa zubaaa chapu unawaongezea furaha nyingine[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Hapa umetukuta [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe jiandae tu kusherehekea..Mipango yote ya kuratibu sherehe itakuwa juu yetu,hatujawahi kushindwa,sherehe mbona ndo Mambo yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na sisi mtuombeee tuwaletee ka anko hapa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji5] kbla ya 2022
Kabisa [emoji23]Ukiolewa kwenye family inayo kupenda na kukufurahia utakiwi kuzubaa zubaaa chapu unawaongezea furaha nyingine
Ili wajue kweli umeenda kuolewa sio kula kula na kulala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mawifi shuhuri zenu uwa sio za kitoto
Kama kawaida yetu[emoji1787]Sherehe zipo damuni
Hiki Chakula Mimi sishibi hata, yaaani