Hongera sana Bill, kabinti kamepishana tarehe/siku moja na kajunior kangu. Mungu akawatunzie na kuwakuzia kabinti kenu, kakawe lango la baraka na mafanikio kwa ndugu zake. Akatengwe mbali na kila magonjwa, laana na mikosi. Msikose wala kupungukiwa anything necessary kwa ajili ya malezi ya binti yenu. Akaishi maisha marefu yenye afya, amani, upendo na utajiri.
Mashangazi tunaandaa sherehe, au ngoja tusubiri kafikishe 40.