Selfika na JF: Snap it. Show it


Mimi kama mtu hapendi kula safarini basi asiongozane na mimi kabisa.
Siwezi kabisa kuvumilia kukaa bila kula aiseee...safari nzima nanunua tu kila kitakachopita.
Ulishawahi kuchanganya madesa mpaka tumbo likakuchachamalia? Kuwa mwangalifu hii isije ikakutokea. Safari utaiona chungu.

(Wasukuma tunasifika kwa kula kula safarini. Kwa hiyo nina experience
)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…