Unakufa njaa jaman na mimi nipo sitokubali ever.
Niko mjini kutafuta sometimes nikiwa na wewe uku mjini ningependa weekend ukae mahali ufurahi, beaches zote tunamwachia nani? Jaman!!!
Mzigo uwe wewe the thing i treasure the most and willingly to protect till the ends.
Huku nilipo sasa, kuna swimming 🏊 pools tu,
Beach 🏖 tutaenda,hujawai kwenda mtoni Beach pori😅😅
😅 😅 😅 😅
Mtaani sio vizuri watu wakufahamu sana,reputation inaweza ikaharibika kirahisi mno.
Ata kwenye mahusiano haisharuwi kuwa kwenye na mtu wa kitaani kwako according to kitaolojia.