Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha umbea ndugu yangu. Tulikutana kwa birthday jana. Yule ananitaka mpaka kesho kutwa
Hahhaah sio umbea dada naona marudiano ya nguvu apa kabisa sio kwa kukesha vile mpaka asubuhi na kazini sijui umeendaje
 
Hiyo omba ya msamaha inatia hasira.
Atalia mwezako
shauri yako.
usinichonganishe na shosti yangu jamani mie nimejaribu kuwa mnyenyekevu kabisa kama ambavyo wanaume wengi humu wanataka wanawake tuwe sasa yeye akishikwa na hasira akakumbatie transformer tu hakuna namna
 
we acha tu mzee
ila si tunasema haina makombo mzee
Na haitakuja kuwa na makombo!! Uzuri wa papuchi hata kama imetoka kutafunwa mda mfupi ulopita ukikutana nayo utamu unakuwa level ile ile ya mwanzo!! MUNGU saidia nisije kutana na papuchi ya JF! Haki ya MUNGU atakuja kufungua uzi hapa!!
(Mkwara tu)
 
Mate just calm yo nerves down...

Hii ni chit chat tu, ukianza majibizano na hawa warembo wetu humu uzi utavurugika huu...

Natumai you're gentleman enough na utakuwa umenipata...

Cheers!!
 
Na haitakuja kuwa na makombo!! Uzuri wa papuchi hata kama imetoka kutafunwa mda mfupi ulopita ukikutana nayo utamu unakuwa level ile ile ya mwanzo!! MUNGU saidia nisije kutana na papuchi ya JF! Haki ya MUNGU atakuja kufungua uzi hapa!!
(Mkwara tu)
hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…