No dada yake Saint anne ndiyo kazaliwa 89 mie nikikutajia umri wa dada yangu wa kwanza mbona utakuwa unanisalimia shikamoo maana mimi na yeye hatujapishana sana
15... Naangalia zile tarakimu zako kwenye kilongalonga changu sizioni hebu fanya kama unanidipu
Mimi dada yangu wa kwanza anaweza kuwa mama yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa 76
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah!!
yawezekana kweli[emoji848]
ThursdayiiiiiiingView attachment 1222584
Hahahaha aisee.Mama kweli huyo. Mama angu wa 72
Utakuwa classmate wangu niliyekupiga chini maana ulikuwa unajitahidi sana kunipeleka MANGESHO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ayayayay acha kabisa mimi ni chibonge cha kutupauwe kama moja tena jameni [emoji2297] [emoji2297] [emoji23][emoji23][emoji23]
ila hiyo ni kwa sababu unajilinganisha na wengine...jilinganisha na wewe mwenyewe ndio itapendeza zaidi mfano kwenye hilo la kupunguza mwili
Akija utamuelezea hii shida yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ananyanyua vyuma huko [emoji23] subiri amalize
Dada kwani mmerudiana
[emoji1787][emoji1787]kasema siyo demu wakeKucha chafu yaani, amshauri awe msafi.
Ikisoma niuunganishe kifurushi cha wiki tu jamani, si eti mdogo wangu mzuri mzuri
Karibu pmNione kwanza picha za my love
π π π we acha tu mzeeDaaa kuoa mwanafunzi aliemaliza chuo halafu anaviwango vya tbs yataka moyo sana...yani wametumika balaa,mume unaweza kua mtu wa 200 kwenye mwili wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daaa kuoa mwanafunzi aliemaliza chuo halafu anaviwango vya tbs yataka moyo sana...yani wametumika balaa,mume unaweza kua mtu wa 200 kwenye mwili wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakika.[emoji23][emoji23][emoji23] katuombee
Karibu pm
aiseee πββοΈKweli kabisa ni wewe muandiko wako nimeukumbuka.