Sasa nakuelewa Kalumbu.
Nilikuwa na mwalimu wangu fulani alikuwa na kigugumizi aiseee...alikuwa na hasira Sana,yaani yule Kuna muda nahisi alikuwa anatamani atandike fimbo
sema ndio vile chuo hakuna fimbo
.akiingia darasa lote kimya,mtu akizingua ni kufukuza nje na matusi aisee..yule jamaa