Selfika na JF: Snap it. Show it

Alikuwa mjomba wangu ila si wa karibu Sana.
Mdogo wake alimuoa shangazi yangu.
Sasahivi yeye na mdogo wake wote hawapo.


Karibu Moud,ukitaka kwenda huko basi nitakupa location ya nilipo.
Kwa sasa unaishi mjini gani, bado Dom?
 
Na hata sijui hii id inawachanganya kitu gani! Wakati hili ni jina la kike!
Mi mwenyewe mwanzo nilikusahau kama ndiye wewe rafiki yangu mpenzi toka nyanda za juu kusini, mpaka dadako Saint Anne aliponyoosha kidole kunielekeza.
Usibadirishe tena I'd yako, marafiki zako unatuchanganya
 
Kafanana na babaake..hongera zakwe
 
Salaute kwa huyo mama.

Wanawake wa Afrika waache umbea, Siasa, Kujipendekeza nk, wajikite maabara ili hatimaye waibuke na vitu vitakavyomkomboa mwanadamu tokana na changamoto mbalimbali.
Wanawake wa Afrika waache umbea, Siasa, Kujipendekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…