Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,835
Kanda ya kaskazini kwa weupe mko vizuri sana. Ishu ni ile department nyingine ile niipendayo sana...Na kwa Msukuma halisi, mambo yote haya mawili ni muhimu sana[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Daddy nakushauri uoe kanda ya kaskazini hayo mashindano ya kula ugali utayasikia radio.
Tuache masihara ugali ni mtamu
Yaliyomo yamo [emoji16][emoji16][emoji16]Mimi nimeichukua/iiba kabisa bhageshi
Badae nina jambo langu na hii picha[emoji1]
Yaliyomo yamo mkuu maana si kwa uzuri wa mtuno wa lipsi zile halafu angalia hapo kifuani kulivyotuna kama vile twiga ananyonyesha...Yaliyomo yamo [emoji16][emoji16][emoji16]
Kapike ugali, nakuja na samakiYaliyomo yamo mkuu maana si kwa uzuri wa mtuno wa lipsi zile halafu angalia hapo kifuani kulivyotuna kama vile twiga ananyonyesha...
Rangi yake sasa ni ile rangi adimu/pendwa kabisa.
Yote tisa kumi sasa..........
Hapana usije na chochote/lolote mkuuKapike ugali, nakuja na samaki
Aisee yaliyomo kumbe yamo!
Si ndo hapo sasa .. T 1990 ELY naomba uendelee kukaa kwa password..ilikuwa maalumu kwa my lovuli DaddySasa huyu bageshi T 1990 ELY kaona akaanza kuwaza mengine wakati guu wala halimhusu. Thenksi mai lavuli dota [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mtaalamu kwa kutunza picha za watu ππMimi nimeichukua/iiba kabisa bhageshi
Badae nina jambo langu na hii picha[emoji1]
Sasa SYB si tulikubaliana unaoa mwanamke aliyevizuri kichwan..hiyo dipatmenti nyingine tunamuachia bwanaππKanda ya kaskazini kwa weupe mko vizuri sana. Ishu ni ile department nyingine ile niipendayo sana...Na kwa Msukuma halisi, mambo yote haya mawili ni muhimu sana[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1720370
WachaYaliyomo yamo [emoji16][emoji16][emoji16]
Wew ni kisanga ujueπππYaliyomo yamo mkuu maana si kwa uzuri wa mtuno wa lipsi zile halafu angalia hapo kifuani kulivyotuna kama vile twiga ananyonyesha...
Rangi yake sasa ni ile rangi adimu/pendwa kabisa.
Yote tisa kumi sasa..........
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2957][emoji2957]Kanda ya kaskazini kwa weupe mko vizuri sana. Ishu ni ile department nyingine ile niipendayo sana...Na kwa Msukuma halisi, mambo yote haya mawili ni muhimu sana[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1720370
Yogurt yogurt au yogurt yogurt? [emoji16][emoji16][emoji16]Hapana usije na chochote/lolote mkuu
Kila kitu utakuta kipo ugali na samaki+maziwa mgando/mtindi ya baridi(unatumia?)
Au mpaka Yogurt[emoji1]
Nimeliona guu. Theenksi mai dota [emoji8][emoji8]
Guu la Taifa
Yaliyomo yamo na yanaonekana mubashara kabisa ....