Selfika na JF: Snap it. Show it

Miye sijambo. Huko kwako kukoje?

Nilikuwa sijapita huku siku nyingi. Leo napita tu mara paap guu hili hapa.
Huku ni salama sana ninaendelea kumtukuza Mungu kwa zawadi ya uzima.

Yeah siku kuona siku nyingi kidogo..si nikakuhamu Sasa..nimefurahi kukuona tena.basi hicho kimguu kilikuwa ni zawadi yako Daddy
 
Huku ni salama sana ninaendelea kumtukuza Mungu kwa zawadi ya uzima.

Yeah siku kuona siku nyingi kidogo..si nikakuhamu Sasa..nimefurahi kukuona tena.basi hicho kimguu kilikuwa ni zawadi yako Daddy

Sasa huyu bageshi T 1990 ELY kaona akaanza kuwaza mengine wakati guu wala halimhusu. Thenksi mai lavuli dota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…