Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani Wazee Kama wale ni wa kuwatwanga tu ngumi kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliona mie nkawa nasema cc km huyu mtu angekua karibu yake, angemtupia hata tofari.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliona mie nkawa nasema cc km huyu mtu angekua karibu yake, angemtupia hata tofari.
Sema Mungu ni wa ajabu sana...ni vile hata nguvu Sina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Ningekuwa na nguvu mimi nahisi ningekuwa selo sasahivi kwa kutwanga watu wajinga wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…