T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,097
- 30,500
Haha...Two in oneWatu tunapiga mpaka quadruple entry we unazungumzia double? Njoo huku Īkūngwilipu Simiyu tukufundishe jinsi ya kupanga vizuri hizi entry points [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1704789
Ndiyo namalizia rehearsal ya mapozi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe yako ndiyo nimesubiri hadi nimekata tamaa
Jitutumue Mtumishi tuone hata kiwiko jamani [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ndiyo namalizia rehearsal ya mapozi
Mtumishi na uhenga huu nao, kuna mambo najikuta tu yananishinda.Jitutumue Mtumishi tuone hata kiwiko jamani [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hakuna neno mkuuMkuu nikiomba nije PM kwa maswali zaidi kuhusu mambo yanayohusiana na hii kazi utaniruhusu na utanijibu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Úuuh..douta![emoji39]
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Ndiyo namalizia rehearsal ya mapozi
Shukrani sana mkuu. Nitakutafuta.Hakuna neno mkuu
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Mwee tangu mwaka juzi mama
Nyungu tuachieni wazee. Nyie vijana tulindeni kwa kutokuwa karibu nasi mpaka kizaazaa hiki kipite. Hata kutusalimia huku vijijini msije. Bakini huko huko mijini kwenu. Please protect us [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nimelikumbuka pilau
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha si unajua wahenga tunakuwa slow learners wa teknolojia mpya. Usiache kuchuchumilia taji la uvumilivu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitalishusha chini siku moja[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Daah hili taji wallahi limeshakuwa zito sasa
Hongera mkuu.
Dea mbna umechanganya hivi? Aaaah umeharibu bhanaah
Wee kumbe ni mjeda? Mungu wangu!! Hadi nimepatwa na homa ghafla lol. Nawaogopa nyie watu hapana mweeeeeeh.Please don't judge me [emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1704732