B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,413
Asipotafsiri sawa nitaandika mahali siku nafika Mbeya nita-tafsiriwa.Atakuja Gerald mwenyewe kukutafsiria..
Ukimkosa huyo Basi muombe Heaven sent,karma,financial service na wengine wengi tu.
Ndugu zangu hao wenye lugha.
Hahah!Hilo mbona dogo mama,
Ukipotea tu, ukirudi unakutana na long thiredi,
Lakini me sitaki upotee nataka niendelee kukuona.
AtakutafsiriaAsipotafsiri sawa nitaandika mahali siku nafika Mbeya nita-tafsiriwa.
AmenUtazijua usijali me nipo wewe upo,
Tumebarikiw afya na uzima,
Utajua.
last time amepotea alivyorud alikua na majanga ya ajali.....this time sijui kwann kapotea hope yuko salama huko aliko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kalumbu hivi umegoma kuniletea Billdrago?
AmenAmen
Tuombe uzima
umepata mmanyani mpyaa kalumbu....bill iseghe toloAtakuja Gerald mwenyewe kukutafsiria..
Ukimkosa huyo Basi muombe Heaven sent,karma,financial service na wengine wengi tu.
Ndugu zangu hao wenye lugha.
Nijioneaga aibu mno,Hahah!
Tuombe uzima.
Naomba ujiselfie leo
Kili zimeshuka bei?[emoji134]Yesu wangu..wanamtakia nini Billy jamani[emoji134][emoji23][emoji23]last time amepotea alivyorud alikua na majanga ya ajali.....this time sijui kwann kapotea hope yuko salama huko aliko
lakini si uko na namba yake em mcheki..
mwambie G anakuambia kilimanjaro zimeshuka bei arud tuu
AmenAmen
Tuombe Uzima [emoji4].
Kwanini ujionee aibu?Nijioneaga aibu mno,
ila nitaji-selfie tu,
Kabla itabidi nikachambue mapose mazuri.
Kalumbu ukujobha sya bhumyasi[emoji23]umepata mmanyani mpyaa kalumbu....bill iseghe tolo
😅😅😅😅,Kwanini ujionee aibu?
You're handsome just the way that you are..
Usijipe shida,wewe tupia yoyote tu..hata km umesimama kama Askari[emoji4].
Hahah![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],
Miaka hii na pose la kiaskari,
Kaka angu ni yule handsome wa Mbeya,
Anaitwa Chikumbalaga.
Asantee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hongera sana cocastic umenitetemesha na ilo pichaValentine yangu imekua so suprised, yaan jion ya leo ndo naletewa zawadi uuuuuh,
Babuuuh Mshana Jr plz kesho tukutane mawasiliano tower, nahitaji ulifanyie kila huduma hitaji kwa hii zawadi, nataka ijumaa iwe road kwa matumizi,
Haya wale mliokua mnataka ligi na mie, mjipange huko mliko,
Nasubiri taarifa toka kwenu. Mie niko kamili full package. View attachment 1703370
mmma ulintungulu kalumbu ghwako jackKalumbu ukujobha sya bhumyasi[emoji23]
Une nganile ubill mwene,atajako jungi[emoji23]
Ali mwene ubill mu ndumbula jangu[emoji7]
Mma Kalumbu [emoji23]mmma ulintungulu kalumbu ghwako jack
hahahahahahhaha syankisu ngafu....jack ghwa kungu aka nsukuma??Mma Kalumbu [emoji23]
Ali mwene ubilly