Selfika na JF: Snap it. Show it

Nitachambua mwaya Pweza hapana asee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila huyo mdudu anatisha
We unakula pweza?
Niliona video yake akiwa majini mzima ..
Mm nadhani siwezi kumla. .anatia kinyaa.
Sure, lakini watu wengine hawakioni
Mnaongelea pweza yupi? Pweza pweza au pweza pweza? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…