Wewe pombe huwezi kuacha..
Labda nikushauri tu upunguze,unywe kwa kiasi .
Kuna wanaume wanakunywa hadi wake zao wanaenda kuwabeba club.
Kuna wanaume wanakunywa akirudi nyumbani ni vurugu anachanganya watoto na mke basi ni kipigo.
Kuna wengine kama wewe wanashinda kutwa kunywa mtu tangu saa6 adhuhuri Hadi 6 usiku upo kunywa..unahama tu viwanja.