Hapo sasa mambo inakua mukidee shikideeee.
Ku drive ndinga raha bhanaaaaah uwiiiiiiiiih. Mshana Jr wee babuuh vipi ndinga nloagiza nje bado haijaja bandarini? Lol
Anne tafadhari usiharibu naomba uwe mtumishi mwema wa bwana..π€£
Leo umekaa kivitisho vitisho tu sijui malaika mikaeli yupo wapi akutulize maana si kwa mikwara hii..π