Aise daah kweli upele humuota asie na kuchaMimi sijui popote zaidi ya chuo na stand.
Hata huko msalato kwenye nyama choma sijawahi Kwenda.
Mipango na St John's nimeenda Mara 1 Napo ilikua kanisani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukinambia Rudi pekeyako Wala siwezi kufika
Naomba fanya tu mpango pm nikuone Aiseee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nikikuona namkumbuka sisy wangu Rika lako hilo
Mimi naomba nikujue eti[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kumaamake... Usiku una vingi vitamu. Wafaidikao wachache
Kabisa afanye mpango pm tu jamani
Sasa nakujuaje eti jamani??Nijue tu love. Sema sisikii balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]upo mkoa gani kwani??Pm mtapata picha nusu bado. Fanyeni mpango twende lunch au dinner sehemu. Isiwe gharama tu maana mie kujilipia 20k naweza kufa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila mie mwenyewe nilivyo mbahili nahisi haunizidi mimiPm mtapata picha nusu bado. Fanyeni mpango twende lunch au dinner sehemu. Isiwe gharama tu maana mie kujilipia 20k naweza kufa
Ukisikia mtu mzima anapotea Basi ndio Mimi.Aise daah kweli upele humuota asie na kucha
Mbona umeenda mbali huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Rika langu ndo miaka arobaini na ngapi mpenzi?
Karibu sana PM [emoji8][emoji8][emoji8]Nawasikiliza nyie wadogo zangu
Ya muda huu huu... tukikitana mtaani fanya kama hunijui View attachment 1222214View attachment 1222215
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah uwage unatembea mdogo wangu mjini hapa utaja nunuliwa bila kujijua anyway lini utakuja kunitembelea jamani??Mimi ukinileta huko kwenu...walah unaniuzia stand.
Yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukisikia mtu mzima anapotea Basi ndio Mimi.
Kwani kasoma chuo gani na kamaliza mwaka gani??Mbona umeenda mbali huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi nimepiga hesabu za Rika kutokana na mwaka uliomaliza chuo.
Dadangu nae kamaliza huohuo halafu mmesoma chuo kimoja.
Sasa nakujuaje eti jamani??
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]upo mkoa gani kwani??
Namie unipe katumbo kako jamni[emoji39][emoji39][emoji39]Nigawie mwili kidogo[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila mie mwenyewe nilivyo mbahili nahisi haunizidi mimi