Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

usijar hata, nikiwa pande izo nakufahamisha, nimemis sato na sangara,
Huko maeneo ya buzuruga, nyegezi, nyakato meko, Nganza na nsumba, st agustine, niliwahi enda had geita mgodini kule nyamalembo.
Naomba kuwa mwenyeji wako siku ukija pande hizi

Nitakutunza na kukulinda na sitatoa siri yoyote ile.

Eeeeeeh cocastic nikubalie
 
Back
Top Bottom