Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Tatizo nishaondoka huko.Nikija Dodoma utakuwa mwenyeji wangu eenh??
Si utarudi tena jamani eti?? Aise kweli wewe ni introvert!!Tatizo nishaondoka huko.
Usijali nitakupa mwenyeji.
Halafu huwezi amini..kukaa kwangu kote Dom hata bungeni sipajui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilishamaliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si utarudi tena jamani eti?? Aise kweli wewe ni introvert!!
Ya muda huu huu... tukikitana mtaani fanya kama hunijui View attachment 1222214View attachment 1222215
Wewe sister Ni hatari[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]
Na mimi nikiww mkubwa nataka kua kama yeye[emoji30]Ya muda huu huu... tukikitana mtaani fanya kama hunijui View attachment 1222214View attachment 1222215
Nikikuona namkumbuka sisy wangu Rika lako hiloHahahahaaaa
Mimi naomba nikujue eti[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ya muda huu huu... tukikitana mtaani fanya kama hunijui View attachment 1222214View attachment 1222215
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh yaani ingekuwa ni mimi ndiyo nimesomea dodoma nahisi hadi saa hizi nigeshapanda hadi lile treni la kati japokuwa ni baya yaani ninavyopenda kuzurura hivi ningeshaomba hadi niingie ndani ya bunge nikalione[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilishamaliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna kipindi nilihaha...
Bwana wee..wakati wa kuondoka tuliondokea chuo tukaenda kwenye mission kanisani mkoani huko,,ilivyoisha nikarudi mbeya.
Sasa kipindi narudi Dom Bwana we tangu wahamishe stand toka jamatin kwenda nane nane ,nilikuwa sijawahi fika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kasheshe iliyonipata...nilishukia nane nane,sipajui..
Naambiwa sijui panda ya sabasaba..ukifika utapanda Sasa yanayoenda kwenu.
Tangu kituo kihamie sabasaba Mimi sijawahi kwenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumaamake... Usiku una vingi vitamu. Wafaidikao wachacheYa muda huu huu... tukikitana mtaani fanya kama hunijui View attachment 1222214View attachment 1222215
Kabisa afanye mpango pm tu jamaniNaomba fanya tu mpango pm nikuone Aiseee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nikikuona namkumbuka sisy wangu Rika lako hilo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Safi bro. Sura yangu ya kiume ati!Bro vipi?
Sijui kawaza nini lohHuyu hakuona pic yako labda...maana ulivyo manshallah
Mimi sijui popote zaidi ya chuo na stand.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh yaani ingekuwa ni mimi ndiyo nimesomea dodoma nahisi hadi saa hizi nigeshapanda hadi lile treni la kati japokuwa ni baya yaani ninavyopenda kuzurura hivi ningeshaomba hadi niingie ndani ya bunge nikalione[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzigua90 dada[emoji8][emoji7][emoji7][emoji8][emoji3590]Kabisa afanye mpango pm tu jamani
Naona umemwekea jamaa miguu hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na mimi nikiww mkubwa nataka kua kama yeye[emoji30]