Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,576
- 235,420
[emoji7][emoji7][emoji7]aje haraka[emoji2969] huyo mjfMtakatifu unapenda ukubwa wewe jamani...
Ngoja sasa ka umri kaja kasogee halafu hakuna namba yoyote uliyoipatia jibu mbona utaimba mapambiooo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe niambie nisisahau kukuletea urojo mtakatifu[emoji28][emoji28][emoji28]
Kuna mwana JF yuko huku nitampa aje nao ili uwahi kuukula[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah we jamaa una hatari sana [emoji1][emoji41][emoji41][emoji41]akikujibu niite
Heheheheeeeeeee kama kweli vile 😆😆[emoji7][emoji7][emoji7]aje haraka[emoji2969]
Umri ndio huo ushasogea(34)
[emoji23][emoji23]ata mama alisema hivi kwa rafiki ake akaishia kuolewa na mshua[emoji851]
Mwee huyo mjf aje tu haraka umuagize[emoji7]Heheheheeeeeeee kama kweli vile [emoji38][emoji38]
Kama kawaida yakeSquare kurusha mitumba
Kazi zangu hizoKama kawaida yake
😂😂😂tutaaminije😆😆😆😆😆😆😆😆muoneni huyu jamani...mi sipo hivyooo
Akili gani tena hiyo😎[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah we jamaa una hatari sana [emoji1]
Kuna hakiri inaniijia kila nikiona hzo emoj ulizo weka kuna kitu nakiona [emoji23]
Ila frsh ngoja tusubiri
Jiandae😋[emoji23][emoji23]
Kumbe tuna vitengo sawaaaKazi zangu hizo
Pamoja na kuuza karanga
😎I see u kipenzi changu 🧚♀️🧚♀️🧚♀️😊😊😊
Ndo maana nimesema akikujibu niite😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha sana
Nimeona nimpe hi tu nina sababu zangu akijibu fresh asipo jibu fresh tu
nikama shukuran tu nimetoa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kausha sasa😎
Hebu hukooo😅😅😂😂😂tutaaminije
Unajitahidi aiseeLita 4.5 inategemea maana inawezekana kuzidi hapo au ikapungua lakini si chini la lita 3
Naijua mwenyewe mkuuAkili gani tena hiyo[emoji41]
Sawa mkuuJiandae[emoji39]
Frsh[emoji23][emoji23][emoji23]Ndo maana nimesema akikujibu niite[emoji23]
Mapenzi nsa imani vinashindana sanaTatizo wanaume mkishagundua mnapendwa mnaanza jeuri.
Unampenda mtu hadi unaanza kupingana na imani,unataka hadi kujaribu kuvunja baadhi ya misimamo uliyojiwekea...
Ah sema Mungu naye ana akili,akihundua unataka kutoka kwenye mstari basi lazima afanye namna aondoe kikwazo kinachotaka kukutoa kwenye line.
MUNGU atatimiza haja ya moyo wako,Muombe bila kuchoka.
Ila kuhusu bluetick huwa sijali kabisa.
Mtu akinibluetick mbona fresh tu,asiponijibu basi miaka na miaka itaenda baadaye nina utaratibu wa kufuta contacts ambazo zinaongeza ujazo kwenye simu yangu.