Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulikutana na ubavu wa kulia wa mwenzako sio wako
 
Mambo ya Zenji.

Wakati wa kurudi uniambie niweke nida yangu yenye 34yrs ili urudi kwa kuogelea.
Mtakatifu unapenda ukubwa wewe jamani...

Ngoja sasa ka umri kaja kasogee halafu hakuna namba yoyote uliyoipatia jibu mbona utaimba mapambioooπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Wewe niambie nisisahau kukuletea urojo mtakatifuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kuna mwana JF yuko huku nitampa aje nao ili uwahi kuukulaπŸ˜…πŸ˜…
 
[emoji41][emoji41][emoji41]akikujibu niite
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha sana

Nimeona nimpe hi tu nina sababu zangu akijibu fresh asipo jibu fresh tu

nikama shukuran tu nimetoa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…