πSorry if you got this wrong..
Ila naonaga wanawake hawapendi sana series..hafu hao wachache wanaipenda sana hii. Naona wanawake hawapendi sana crimes n Drugs series. Ila hii nishaona wengi wanaipenda wanawake
But Omari hayupo kwenye PBII. It's a spinoff with some of the original casts...not all of them.Ila kweli wanawake wengi wanapenda sana muonekano wa Omar Hadwick
Hongera kupenda muvi n series,
Beautiful [emoji3590]
AmenView attachment 1685274
Siku moja moja sio mbaya kuingia Church na kujiimbisha kama hivi [emoji1738]
Happy Sunday [emoji120]
Aaaaah ouk sawaah.Dodoma hotel mkuu
Woyooooooooh
A RING good foot#Bingewatching
View attachment 1685091
Asubuhi njemaView attachment 1685564
Looks like the sunsetNice Monday. View attachment 1685617
Hatimaye Wanaume tuliokuwa tunadhalilishwa na akina Dada tumepata mtetezi, Mungu atupe nini tena πͺWaziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii , Jinsia , na Watoto , Ndugu Doroth Gwajima amepiga Marufuku Neno Kibamia linalotumiwa sana na Wanawake katika kuwadhalilisha Wanaume hasa wakiachana.
"Kuna tabia imeibuka siku za karibuni na imeendelea kuota mizizi unakuta dada akiwachana tu na aliyekuwa mpenzi wake basi silaha ni kumtangaza kwamba ana 'kibamia' huu ni udhalilishaji kama udhalilishaji wa kijinsia na wanaume wengi wameharibiwa saikolojia kwa kutamkiwa neno hili 'kibamia' hivyo ni marufuku neno hili kutumika kwenye jamii na mwanaume akidhalilishwa kwa kutamkiwa neno hili akaripoti kituo cha Polisi adhabu ni faini ya kulipwa laki tano au mtenda kosa aende jela miezi sita au vyote kwa pamoja." Waziri Doroth Gwajima.
.
SHARE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye Wanaume tuliokuwa tunadhalilishwa na akina Dada tumepata mtetezi, Mungu atupe nini tena [emoji123]
Sasa nitatembea kifua mbele, ole wao akina Minnah, Sarah, Linnah waniite Kiba100 tena, miezi 6 Jela itawahusu [emoji1738][emoji28]