Huwa anachungulia na kusepa mara moja moja sanaaMtoto mlitoo huku huwa yupo?
Siku nyingi sanaa ila kabaki tu old traford kwakeMtoto mlitoo huku huwa yupo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti eeeh bas sawaahHata sijui....nimejisemea tu [emoji16][emoji85][emoji85]
A wapi [emoji23]tutagawawana nae[emoji23]
Msalimie ex wa mtu akijaHuwa anachungulia na kusepa mara moja moja sanaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Ndo hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nakuja ila nakunywa Soda na grandmaltAnyone at tips tunywe bia...
Sawaaa mkuu usijari....Msalimie ex wa mtu akija
Hebu sema[emoji23][emoji23][emoji23]Inaonenakana kama....
Anyway [emoji1787]
Grandmalt na soda zipo?Njoo ukifika getini niambie please
Huyo wa siku Mia Nina pongezi yake ya mdomo tu[emoji23]Me naomba ningojee mrejesho baada ya mkuu kumaliza siku mia[emoji23]
Nilikuwa nakaribia kufika ila nimeahirisha.
A wapiAchana na hawa njoo utahudumiwa kwa upekee zaidi..
kiupekee zaid nakazia hapo mtakatifu 😂Achana na hawa njoo utahudumiwa kwa upekee zaidi..
Aliyesema anaacha kwa ajili yangu ni yule niliyemuahidi zawadiMtakatifu ashindwe yeye tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]inauma mkuu alisema anaacha kwa ajili yako
Tukishakuwa zaidi ya mmoja hakuna cha kiupekee hapo[emoji23][emoji23][emoji23]kiupekee zaid nakazia hapo mtakatifu [emoji23]
Mtakatifu ashindwe yeye tu
Hivi siwezi vaa suti na tai nikauza hii? Au lazima nifuge mzuzu na kuvaa kanzu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]