Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,556
- 235,330
Stick inachosha mikono.[emoji38][emoji38][emoji38]hutafaa
Ila kuna siku mzigua alikuwa anafuta zikamgomea..mods walimtenda[emoji23] bahati nzuri ilikuwa ameweka usiku Sana.Hahhahha vile sawa
usihangaike nitaogelea nayo mpaka zenj huku nimeiweka kichwani boat nahisi zitacheleweshaNgoja nipige simu klm ferry tuone wana boat ya saa ngapi kuja huku
Mimi nilichomshukuru Mungu nilikuta cafe wanapiga hadi ugali na mlenda..yaani nilikuwa nagonga ule ugali kama kichaa.Yaan nikawa nawaza hivi huku mjini wali hauliwi kwa mkono?
Maan sidhan km n ajabu, bas yule muhudumu kila nikienda akiniona tyuuh anachekaa mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23].
Na nikinunua ugali anasemaje sifanani na kula ugali, huea namtazama tuu, wakati angejua kwetu ugali ndo bandika bandua tena mboga za maporini huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mazoea tabu tupu.
Ndo mana nakupendeleaga😘😘😘usihangaike nitaogelea nayo mpaka zenj huku nimeiweka kichwani boat nahisi zitachelewesha
Rungwe huwa napita tu njia ninavyoenda Kyela.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi rungwe ushawah fika?
i was wrong bana....kale kangua kanakupa kitambi aiseeHahhaha msemaji wangu umenisaidia
Ukajikausha kama hujaona hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uli na maluli kalumbughweee mwana ughweee mweeee.....hahahha nimesoma alivyompa kesi bill nikakaa kimya
umekuja kuzima umeme ww....hahahhaha Shunie alisema ww manara wake
Naona alijaribu mara nyingi nyingiHahhaa ikawaje sasa zilifutika au naomba isinitokee hiyo
Sasa tuvipande tudogo tule ule kamoja kamoja si kuuchosha mdomo huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah jamani unazoa 3 3?
Mimi hata kuvishika sijawahi zaidi ya kuviona humu[emoji23][emoji23][emoji23]Mtakatifu wewe ni kisanga.
Napenda kutumia vile vijiti kama vya kichina.nainjoy sana sana
Na picha ulichukuapicha ninayo ile....halikua fupi bana
Sisi kule walikuwa wanavunga tu mwaka wa kwanza..Huku mjini ukiagiza ugali hasa cafe za vyuo, sijui unaonekanaje yaan. Me ndo swezagi naagiza tyuuh wala sijari mda wa kujibana sina,
Ila jioni nikiwa kwangu napika chochote hata mlenda hasa ule wa bamia na mboga ya maboga.
Chips raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnaokula chips mnapata tabu sana.
Usengwile akapicha kalumbu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]picha ninayo ile....halikua fupi bana
Yaani kama sio yule kocha wenu na mkemia wenu wa vilevi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama Gerald
.
aisee amekaa kama sio mchambuzi wa vilevi Tanzania
Usitoe Sasa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Basi leo usiniseme sana na kitambi changuView attachment 1682565
Kumbe alijikausha kimya [emoji23][emoji23]Anne si huyu apa gerald
Na ushamba wangu pia unachangia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni mazoea tu mtakatifu [emoji28][emoji28]