Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Hivii Kaka Pulisic CFC ulisema nikubali hela za watu nisiowajua??
tuwaambie wanaume wetu waende tu gym hakuna namna..
Zanzibar??Huu uzi unakimbia balaa jua lileee, tumejitahid sana kuendana na kasi lakin ngoja tuishie hapa kwa leo.View attachment 1221863
Hanna haniwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kibonge mwenye nyamaaaView attachment 1221856View attachment 1221857View attachment 1221859
Twin Depal
Wasitutishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
WeeeSio bhana tumefanana miguu tu
Mvue nguo utazame.Huyu jinsia gan
Thenx broNice shoes bro'
Itakuwa.Au labda hawana kabisa hayo mambo mengine ya kusimama
Hahahaha ya kawaida sana mkuuRaba iyo [emoji625][emoji419]
Huu uzi wadada ndio mmeupenda sana.Kwanini utuseme troublemaker? Mimi nashukuru tu nimekula maana mchana hata sijui nilipitaje bilabila!!
Waiting....Coming soon [emoji28]
Hahaha.. Bado nakusubiri halafuSafiii [emoji23][emoji23][emoji23] ila ile nyingine kali zaidii
Basi nitume hata pmIpo kule juu kabisa hata nikikuambia hauwezi kuenda
Basi karibu sana SweetieleeAcha tu niwe mkweli japo nimechelewa, huu mkono uliojazia umenivutia!!
[emoji28][emoji28][emoji28] Halafu anashika mustache kidogoNapata picha anavyojilaza hapo kifuani kwa madeko huku akibinya mikono hiyo......kwakweli wanafaidi nimetamani kujidogosha
Hahahaha mshana unanichekeshaaChonde chonde msije kutuma kama hii hapa... Kuna mafisi na mamende humuView attachment 1221391