Selfika na JF: Snap it. Show it

Sicheki,nilishawahi lala nyumba moja ugenini, usiku nikala wali wa kuhesabiwa na vipande viwili vya nyama na glass ya wine,wine ndiyo ikaongeza njaa zaidi, asubuhi ilibidi nitafute banda la mamalishe na pusha nikazoa mji.

Wewe nawe ulizidi

Hukushiba wali??

Halafu Mimi kuna hali huwa naipata,nikiwa kwa watu nakuwa na appetite ya kula,tofauti na nikiwa nyumbani ambako naweza kula vijiko viwili tu na nikashiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…