Selfika na JF: Snap it. Show it

Happy [emoji512] to u T 1990 ELY
Jah akupe baraka, hekima, busara, ustahimilivu na uvumilivu ktk changamoto zote za maisha ya Dunia.
Akufanikishie Yale yote uliyoshindwa kuyatimiza, kwa uwezo wake yeye yakatimie upate kushuhudia ukuu na utukufu wake.

Nakutakia uishi maisha marefu yenye furaha na amani tele.
Enjoy ur special day.
 
happy birthday kijana Ila usitafute sijui cake na maua ni Mambo ya pisi kali [emoji1787][emoji1787], wew jioni tafuta mahali penye utulivu agiza kvant kubwa unainywa taratiibu huku ukitafakari jinsi gani huu mwaka uongeze hela
Hahaha.....ushaurui wako mzuri sana mkuu.

Hakika nitafanye hivyo japo cake hata sina mpango nae

Ila kwenye kukaa sehemu tulivu huku napata kinywaji changu pendwa kabisa cha serengeti Premium Lite ya baridi nitafanya hivyo.

K-vant ilishaga nishinda kuinywa mkuu

Vipi kwema lakini mkuu
 
Akhsante sana mpendwa wangu cocastic

Maneno yako mazuri mno na nimeyapenda bure kwa kweli

Na kwako iwe hivyo pia

Vipi kwema lakini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…