Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 14, 2021 #86,881 billdrago said: hayo maneno ya waswahili tu Click to expand... Hee Sasa utanipiga ngumi au hela?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,940 Reaction score 831,461 Jan 14, 2021 Thread starter #86,882 Saint Anne said: Kaka mshana shkamoo Za tangu mwaka jana bwana,ulipotea sana Click to expand... Mungu ni mwema dada happy new year..pole sana kwa majanga ya kuchanilichukua likizo kidogo
Saint Anne said: Kaka mshana shkamoo Za tangu mwaka jana bwana,ulipotea sana Click to expand... Mungu ni mwema dada happy new year..pole sana kwa majanga ya kuchanilichukua likizo kidogo
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 14, 2021 #86,883 Mshana Jr said: Mungu ni mwema dada happy new year..pole sana kwa majanga ya kuchanilichukua likizo kidogo Click to expand... Ukucha wa bandia ukataka uondoke na kucha yangu Naona kweli ulikuwa likizo,ulikuwa kwenye thathmini ya uchaguzi nn
Mshana Jr said: Mungu ni mwema dada happy new year..pole sana kwa majanga ya kuchanilichukua likizo kidogo Click to expand... Ukucha wa bandia ukataka uondoke na kucha yangu Naona kweli ulikuwa likizo,ulikuwa kwenye thathmini ya uchaguzi nn
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,160 Reaction score 11,214 Jan 14, 2021 #86,884 Saint Anne said: Hee Sasa utanipiga ngumi au hela? Click to expand... vyote vyote naanza na ngumi nakutuliza na hela
Saint Anne said: Hee Sasa utanipiga ngumi au hela? Click to expand... vyote vyote naanza na ngumi nakutuliza na hela
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 14, 2021 #86,885 Mshana Jr said: Mungu ni mwema dada happy new year..pole sana kwa majanga ya kuchanilichukua likizo kidogo Click to expand... Ukucha wa bandia ukataka uondoke na kucha yangu Naona kweli ulikuwa likizo,ulikuwa kwenye thathmini ya uchaguzi nn
Mshana Jr said: Mungu ni mwema dada happy new year..pole sana kwa majanga ya kuchanilichukua likizo kidogo Click to expand... Ukucha wa bandia ukataka uondoke na kucha yangu Naona kweli ulikuwa likizo,ulikuwa kwenye thathmini ya uchaguzi nn
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 14, 2021 #86,886 billdrago said: vyote vyote naanza na ngumi nakutuliza na hela Click to expand... Kama na ngumi basi hunipati ng'oo Hela zako baki nazo
billdrago said: vyote vyote naanza na ngumi nakutuliza na hela Click to expand... Kama na ngumi basi hunipati ng'oo Hela zako baki nazo
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,160 Reaction score 11,214 Jan 14, 2021 #86,887 Saint Anne said: Kama na ngumi basi hunipati ng'oo Hela zako baki nazo Click to expand... hahaha natania Mimi sijawah nyanyua mkono kupiga na sitakuja fanya hivo,, usharudi town?
Saint Anne said: Kama na ngumi basi hunipati ng'oo Hela zako baki nazo Click to expand... hahaha natania Mimi sijawah nyanyua mkono kupiga na sitakuja fanya hivo,, usharudi town?
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,936 Reaction score 30,099 Jan 14, 2021 #86,888 financial services said: Mishikaki mi4 mkuu unamaliza? Kweli mwanaume wa mikoani Click to expand... Nilimaliza na nikaongezea minne tena mkuu Vipi kwema lakini mpendwa
financial services said: Mishikaki mi4 mkuu unamaliza? Kweli mwanaume wa mikoani Click to expand... Nilimaliza na nikaongezea minne tena mkuu Vipi kwema lakini mpendwa
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,141 Reaction score 43,366 Jan 14, 2021 #86,889 T 1990 ELY said: Nilimaliza na nikaongezea minne tena mkuu Vipi kwema lakini mpendwa Click to expand... Duh uko vizuri ngosha mwenyewe 😀. Kwema kabisa how's Rock city?
T 1990 ELY said: Nilimaliza na nikaongezea minne tena mkuu Vipi kwema lakini mpendwa Click to expand... Duh uko vizuri ngosha mwenyewe 😀. Kwema kabisa how's Rock city?
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 14, 2021 #86,890 billdrago said: hahaha natania Mimi sijawah nyanyua mkono kupiga na sitakuja fanya hivo,, usharudi town? Click to expand... Hata mdogo wako hujawahi mdunda kipindi mnakua? Town sijarudi
billdrago said: hahaha natania Mimi sijawah nyanyua mkono kupiga na sitakuja fanya hivo,, usharudi town? Click to expand... Hata mdogo wako hujawahi mdunda kipindi mnakua? Town sijarudi
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,936 Reaction score 30,099 Jan 14, 2021 #86,891 Jack Palladino said: Napunguza mchumba Saint Anne View attachment 1677532 Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app Click to expand... Kwa mbali naona ugonjwa wangu
Jack Palladino said: Napunguza mchumba Saint Anne View attachment 1677532 Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app Click to expand... Kwa mbali naona ugonjwa wangu
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,160 Reaction score 11,214 Jan 14, 2021 #86,892 Saint Anne said: Hata mdogo wako hujawahi mdunda kipindi mnakua? Town sijarudi Click to expand... zamani akati ndio anakua alikua na majibu ya ajabu nilimdunda Mara moja heshima mpaka leo , Rudi bwana mjini Nina zawadi zako
Saint Anne said: Hata mdogo wako hujawahi mdunda kipindi mnakua? Town sijarudi Click to expand... zamani akati ndio anakua alikua na majibu ya ajabu nilimdunda Mara moja heshima mpaka leo , Rudi bwana mjini Nina zawadi zako
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Jan 14, 2021 #86,893 Saint Anne said: Nataka uache kabisa mchumba Click to expand... Sawa mchumba Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Saint Anne said: Nataka uache kabisa mchumba Click to expand... Sawa mchumba Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,936 Reaction score 30,099 Jan 14, 2021 #86,894 financial services said: Duh uko vizuri ngosha mwenyewe . Kwema kabisa how's Rock city? Click to expand... Niko vizuri mno mkuu Rock city kwema/salama kabisa Ulishaga wahi kufika mwanza?
financial services said: Duh uko vizuri ngosha mwenyewe . Kwema kabisa how's Rock city? Click to expand... Niko vizuri mno mkuu Rock city kwema/salama kabisa Ulishaga wahi kufika mwanza?
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 14, 2021 #86,895 billdrago said: zamani akati ndio anakua alikua na majibu ya ajabu nilimdunda Mara moja heshima mpaka leo , Rudi bwana mjini Nina zawadi zako Click to expand... Yaani kuna watu wananichosha huku acha kabisa.. Zawadi zangu nitamuagiza hata mtu kama ikishindikana kuja kuzichukua mwenyewe. Mm nakumbuka kipindi nakua nilikuwa nagombana na kaka yangu,bahati nzuri nilikuwa natetewa na wazazi,baba alikuwa anamnyuka sana.
billdrago said: zamani akati ndio anakua alikua na majibu ya ajabu nilimdunda Mara moja heshima mpaka leo , Rudi bwana mjini Nina zawadi zako Click to expand... Yaani kuna watu wananichosha huku acha kabisa.. Zawadi zangu nitamuagiza hata mtu kama ikishindikana kuja kuzichukua mwenyewe. Mm nakumbuka kipindi nakua nilikuwa nagombana na kaka yangu,bahati nzuri nilikuwa natetewa na wazazi,baba alikuwa anamnyuka sana.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 14, 2021 #86,896 Jack Palladino said: Sawa mchumba Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app Click to expand... Tatizo unasema sawa kila siku. Halafu nakudai picha
Jack Palladino said: Sawa mchumba Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app Click to expand... Tatizo unasema sawa kila siku. Halafu nakudai picha
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,355 Reaction score 23,084 Jan 14, 2021 #86,897 financial services said: Hicho kidole kumbe you're already taken aah mkuu Click to expand... Aisee kitambo sana
financial services said: Hicho kidole kumbe you're already taken aah mkuu Click to expand... Aisee kitambo sana
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Jan 14, 2021 #86,898 T 1990 ELY said: Kwa mbali naona ugonjwa wangu Click to expand... Nimekuelewa Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
T 1990 ELY said: Kwa mbali naona ugonjwa wangu Click to expand... Nimekuelewa Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,141 Reaction score 43,366 Jan 14, 2021 #86,899 T 1990 ELY said: Niko vizuri mno mkuu Rock city kwema/salama kabisa Ulishaga wahi kufika mwanza? Click to expand... My dream City Mwanza ila sijawahi kufika kabisa😒 nafikiria samaki tuu😋😋. Ipo siku ntakusuprise mkuu.
T 1990 ELY said: Niko vizuri mno mkuu Rock city kwema/salama kabisa Ulishaga wahi kufika mwanza? Click to expand... My dream City Mwanza ila sijawahi kufika kabisa😒 nafikiria samaki tuu😋😋. Ipo siku ntakusuprise mkuu.
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 18,141 Reaction score 43,366 Jan 14, 2021 #86,900 mshipa said: Aisee kitambo sana Click to expand... Dah basi tenaa, msalimie the luckiest woman in the world 😍
mshipa said: Aisee kitambo sana Click to expand... Dah basi tenaa, msalimie the luckiest woman in the world 😍