Wewe na pepo mna ushirika mzuri.
Huwezi kuwa upande wa pepo halafu eti ulishinde.
Ukimkataa shetani inabidi ukatae na mambo yake.,
Ukimpenda Mungu lazima utii sheria zake,
Bila kufuata nyayo Zake bado haujampenda..ila neema ya Mungu ni kubwa mno,Anaangalia nia ya ndani..