umeangalia room...
hahaah pipo za social utazijua tuu kwa room zao
sema social kulikuaga kutamu sana
Hizo hostel vitanda hivyo ni coed..hata hivyo kiti kimeandikwa.
Na tiba wazee wa kudoea hostel zenu hawajambo
Kukaa coed Raha,ujasi ya ng'ong'ona afu asbh kupiga chocho hadi tiba