Habari washkaj zangu niliwamis Sana mwenzenu nilipata majanga sikumaliza mwaka vizuri ndio maana hamkuniona humu la kwa muda nilipata bonge la ajali wazee nikagonga watu bahati mbaya wakafa nimekaa Sana rumande nimetoka juzi mniombee nikae sawa kisaikolojia