Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndiyo mkuu wivu huwa unanikolea pale anapochati na wanaume tena hasa anapoitwa baby,mpenzi,mke.

Halafu unaweza kuta linahbaby ni jamaa fulani hivi mwenye sura ngumu

Natania tu[emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila jamani ilo pepo linalo washika watu wa selfika lishindwe kwa jina la yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…