Ushaanza visanga sasa ..usijali nipo ...ila nimeona nikae kwa kutulia nisije itwa mbwa siku nyingine [emoji5]...wacha nibaki kuwa mbuzi mnaweza nila ata nyama mwaka mpya[emoji847]
Nakupenda sana mpenzi
Hongera kipenzi loh..Hata sinywi chchte, wala hakna filter dea,
Ni naturally.
Naona unavyoiogopa [emoji4][emoji4]
Yaani kwa siku nakunywa vikombe karibu sita. Siyo salama kwa afya. Na nikichelewa tu kichwa kinauma hatari.Naona unavyoiogopa [emoji4][emoji4]
Nyamagana... Butimba kwa wajubaUpo mwanza mitaa/wilaya gani mkuu?
Agiza chochote ndotoni nitalipa ukiamka😆
✌️ imenilea...
Umenikumbusha nitafute pesa...Kichuna.
[emoji177][emoji177][emoji177]View attachment 1662431
Mh! Hii miguu kwenye picha ya kwanza inaweza kuwaDea na mie Leo nimekuonesha kapaja kangu
😆😆😆😆Nacheka kama mazuriMh! Hii miguu kwenye picha ya kwanza inaweza kuwa
na upaja wa hivi? December fools' day😀😀 View attachment 1662514View attachment 1662516
Ni mgeni Dodoma eeh???Nyerere squareView attachment 1662519
MwenyejiNi mgeni Dodoma eeh???
mbona kama hiyo round about ni jamatini karibu na kimbinyiko??Mwenyeji
Mie zote naziita squaresmbona kama hiyo round about ni jamatini karibu na kimbinyiko??
Homie hapo sio bhanaNyerere square
Sehemu inayonivutia zaidi Dodoma[emoji3590]View attachment 1662522
Ipi hiyo??Daah...
sema nimeipenda hiyo namba 8
mdala
Duuuh... sawaa aseee nikajua ni mgeni umemix mafile...Mie zote naziita squares
Macho yangu ni kama kioo hayajawai danganya nimezoom namba 8 murua kabisaIpi hiyo??
Hiyo ni katuni mkuu