Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Mimi nimeshindwa kuiona vzr hiyo pichaHayawi hayawi sasa yamekua,
Mr & Mrs mpareee.
Tumefanikishaaaah.
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Shunie , Chakorii , Saint Anne , Depal , Joanah , yna2 linahbaby ,
Naomba zawadi zenu plz. Kwa heshima yenu naomba zwadi nijiskie furaha na amani. View attachment 1661242
Mdogo wangu Aaron Arsenal katukimbia kabisa...kwenye thread za soka
w
walipotea kabisaa....
Tufanye mpango upate copy yako shem!![emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha.....naomba nikuonyeshe mkuu.Hata la kike nalo ni dushe
Mkishinda gemu ijayo analudMdogo wangu Aaron Arsenal katukimbia kabisa...
Asenali bwana[emoji7]Niliahidi....View attachment 1661294
Mimi hiyo hapana Shem..Labda nikiongezee wewe[emoji23]Tufanye mpango upate copy yako shem!!
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka lakini sijafurahi!!!Asenali bwana[emoji7]
Mtu anaweza dhani mko siriazi kumbe Wala[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1661496
😆😆 why though??Mkuu naweza utumia kama wallpaper 😍
hahaha ewaaaa nimeelewa njia toka juu landmark hotel....kwa mbele hapo kuna frem zimejengwa nilipasahau
tukuyu kitambo sana
Dah....ofa imekataliwa!
Ilivyo tu me hoi😋😆😆 why though??
Mkuu yameisha.. now Aman Aman tuuMmekashambulia kabint ka watu mpaka kamesepa [emoji3][emoji3][emoji3] # watu hawapendi masikhara na maisha yao ,, Safi sana
Niko poa sana tu mkuu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kwema kabisa mzee, upo poa lakini,
Aseno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka lakini sijafurahi!!!
Ipo hard copy tu mkuu.As i expected yatakuwa ya wachaga haya...
Kama una PDF yake nipe niipitie nijifunze kitu Mkuu PM
Ha ha ha!!!Dah....ofa imekataliwa!
Kwani kuna nini?Mmekashambulia kabint ka watu mpaka kamesepa [emoji3][emoji3][emoji3] # watu hawapendi masikhara na maisha yao ,, Safi sana
Kuna nini kimetokea?yawezekana nimepitwa hapahapaMaisha ya Jf fresh sana.. Eti Id zinagombana?