Selfika na JF: Snap it. Show it

Dont take things so serious, hakuna aliekuchukulia vibaya but kuna utani unaelekea na ukweli ni kama kuna kitu unakijua zaidi, tupo wote hapa kufurahiana, hakuna sababu ya kuchukulia mambo tofauti hakuna aliechukia ila tunakumbushana privacy ya mtu ni nzuri ukaitunza,

Nakupenda binamu
 
Jamaniii dear love you usichukulie kila comments serious ni utani yameisha hebu upende Uzi wetu tena mamiii
 
Hivi unafikiri hakuna watu wazuri humu..wapo sana..na kuonana na mtu wa JF haikatazwi lakni kusema nimeonana na Fulani hiyo si sawa kabisa.

Kwani ni lazima kusema unamfahamu fulani?!!
Imeisha, tuwe wenye furaha kama zamani, tatizo mtu kujua huu ji utani na huu ni ukweli ni ngumu, amesema alikua anatania, usikuze jambo jirani limeisha hilo
 
Hahahaha, kuwa na Aman Best ,usijinyime raha kwa kujitoa ktk Uzi kwa kosa lako mwenyewe

We chat kwa Aman na Upendo

NB : MTU km humjui usijimwambafay unamjua ili upate kick

Nikutakie Juma tatu Njema, Blue Monday , Karibu 420 Cousin hapa upate japo lunch
 
Jamaniii dear love you usichukulie kila comments serious ni utani yameisha hebu upende Uzi wetu tena mamiii
Imagen kwa mara ya kwanza nimelia kwa sababu ya watu wamtandaoni ambao ata siwajui ila leo nimenmjisikia vibaya zidi yao kosa ni langu na nimeomba msamaha sijawai kuitwa mbuzi mimi ndo mara ya kwanza leo ila yote hayo nimeyataka mimi sina budi kuyajutia masihara yangu mtu chake Chakorii naombeni mnisamehe sana
all the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…