[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nikikuambia namfahamu utabisha sio?[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Hey unavuka mipaka.heshimu watu.kucheka sana isifikie kukoseana adabu.kwenye hii comment naomba unitoe tafadhali.
Unapata wapi ujasiri huu wewe dada[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Heeeeh wee hebu kua serious dea lol, mbona ni habari mpyaa hii duuh, ngumu kumeza.Jamanii eeeh ngojeni leo niwaambie najua mnajua wengi kuwa mtu chake ni mwanaume hapana sio mwanaume ni mwanamke [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]najua hamta niamin ila ukweli ndo uo [emoji1][emoji1][emoji1] kwa we Chakorii hyo ni mdada tena ni mzuri balaa sijaona wa kumfananisha alaf ajabu ni kwamba hakai Tz .
#habari mpya
Cha watu wote jf[emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]kipenzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Binamu huyo ni mwanaume, watu tunamjua muda mrefu alishapost hapa yupo maskani anagonga chai,Binamu niamin mimi nacho kuambia kama kaweka picha sio yake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ndo maan ata kuchat anachat hamalizi maneno maan anajua mtamshitukia [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfalme njozi niko hapaHeeeeh wee hebu kua serious dea lol, mbona ni habari mpyaa hii duuh, ngumu kumeza.
Hya basi kama mwanaume mbona hvo sasa[emoji22][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Binamu huyo ni mwanaume, watu tunamjua muda mrefu alishapost hapa yupo maskani anagonga chai,
Kama una fahamu watu nje ya JF ndo unyamaze dada[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nikikuambia namfahamu utabisha sio?
Unataka tuamini kitu ambacho hata wewe hujui jinsia yakeSijui ila hakiri ndo imekuja kichwan tu hapa
Hmn nimekuuliza coz umenikazia sana ila me kusema hvo ni vyenye tu nimewaza mbali snaaaKama una fahamu watu nje ya JF ndo unyamaze dada
Hapo sasaUnataka tuamini kitu ambacho hata wewe hujui jinsia yake
Sidhani km anaweza kuwa na bahati hy ,wenzie wamejaribu sanaKama una fahamu watu nje ya JF ndo unyamaze dada
Subiri ngumi zinarushwa sasa hiviMbona hamgombani?
Privacy ya mtu ni muhimu sana umeongea jambo zuriKama una fahamu watu nje ya JF ndo unyamaze dada
Mimi namjua mmoja jukwaa la like tulipanda daladala 1 ni mwanamke mrembo ila anavyo mchambua Ozil ni balaaSubiri ngumi zinarushwa sasa hivi
Sikatai lakini sasa kama umekutana na watu humu awe jinsia ke au me cha msingi ni mawazo tu, ila ukitaka zaidi kama kukutana ndiyo unakutana na mambo tofauti mara kupewa ukimwi, mara kutapeliwa, mara kudanganywa, mara kuumizwa, mara kukutana na jinsia tofauti so mambo ni vurugu, jambo zuri ni kuchukulia jf kama sehemu ya kukurefresh akili na kujifunza mamboMzee wanawake wengi tu mbona wanajikuta masela umu na vice versa pia.