Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #83,001 Mgirikipanther said: Sawa Mkuu mdumu sanaa ila umpe mrejesho Chakorii Click to expand... Namfuatilia kwa ukaribu mnooo... Naona anataka kuhamia kwenye chombo kingine kipya π
Mgirikipanther said: Sawa Mkuu mdumu sanaa ila umpe mrejesho Chakorii Click to expand... Namfuatilia kwa ukaribu mnooo... Naona anataka kuhamia kwenye chombo kingine kipya π
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Dec 27, 2020 #83,002 Chakorii said: Uchokozi sasa Click to expand... kwel yan muulize mbona leo yupo peke ake..
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Dec 27, 2020 #83,003 Chakorii said: Hivi mahabuba wangu ni nani jamani mbonasimjui mimi Click to expand... Kauli yako ni kama daraja la kupeleka watu PM.. Anyway Hata mama angu alisema hivyo hivyo kwa baba miaka 90 iliyopitaa wakaoana
Chakorii said: Hivi mahabuba wangu ni nani jamani mbonasimjui mimi Click to expand... Kauli yako ni kama daraja la kupeleka watu PM.. Anyway Hata mama angu alisema hivyo hivyo kwa baba miaka 90 iliyopitaa wakaoana
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Dec 27, 2020 #83,004 Chakorii said: Namfuatilia kwa ukaribu mnooo... Naona anataka kuhamia kwenye chombo kingine kipya Click to expand... Macho hayana pazia na moyo siyo kama figo ushindwa kubadili gia.
Chakorii said: Namfuatilia kwa ukaribu mnooo... Naona anataka kuhamia kwenye chombo kingine kipya Click to expand... Macho hayana pazia na moyo siyo kama figo ushindwa kubadili gia.
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,876 Reaction score 51,684 Dec 27, 2020 #83,005 Chakorii said: Jirani navaa size 36 au 37. Ninunulie white Click to expand... Duh
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #83,006 Iceberg9 said: Duh Click to expand... Duh hiyo vipi.. Hebu nunua kiatu huko
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #83,007 Mgirikipanther said: Macho hayana pazia na moyo siyo kama figo ushindwa kubadili gia. Click to expand... π π unamafumbo jooπ π
Mgirikipanther said: Macho hayana pazia na moyo siyo kama figo ushindwa kubadili gia. Click to expand... π π unamafumbo jooπ π
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #83,008 Mgirikipanther said: Kauli yako ni kama daraja la kupeleka watu PM.. Anyway Hata mama angu alisema hivyo hivyo kwa baba miaka 90 iliyopitaa wakaoana Click to expand... Chief mbona unataka kunibania hiyo connection aise π π π π π eti wakaoanπ π π hebuuuuu
Mgirikipanther said: Kauli yako ni kama daraja la kupeleka watu PM.. Anyway Hata mama angu alisema hivyo hivyo kwa baba miaka 90 iliyopitaa wakaoana Click to expand... Chief mbona unataka kunibania hiyo connection aise π π π π π eti wakaoanπ π π hebuuuuu
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #83,009 Mgirikipanther said: kwel yan muulize mbona leo yupo peke ake.. Click to expand... π π π labda hana bando π π
Mgirikipanther said: kwel yan muulize mbona leo yupo peke ake.. Click to expand... π π π labda hana bando π π
linahbaby JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 1,087 Reaction score 3,084 Dec 27, 2020 #83,010 Chakorii said: Kutoka kwenye baba na mama watoto mpka kwenye ukuukwani kila mtu yuko katika mazingira gani mpka muitane wakuu Click to expand...
Chakorii said: Kutoka kwenye baba na mama watoto mpka kwenye ukuukwani kila mtu yuko katika mazingira gani mpka muitane wakuu Click to expand...
linahbaby JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 1,087 Reaction score 3,084 Dec 27, 2020 #83,011 Mgirikipanther said: Anguko la kiuchumi Click to expand...
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,936 Reaction score 30,099 Dec 27, 2020 #83,012 linahbaby said: Click to expand... linahbaby
platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,548 Reaction score 11,517 Dec 27, 2020 #83,013 nice v said: Jumapili njema wapendwa...View attachment 1660095ingizo jipya Click to expand...
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Dec 27, 2020 #83,014 Chakorii said: unamafumbo joo Click to expand... Tofaut lazima ionekane kati ya watakao ondoka January 4 na sisi...
Chakorii said: unamafumbo joo Click to expand... Tofaut lazima ionekane kati ya watakao ondoka January 4 na sisi...
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Dec 27, 2020 #83,015 Chakorii said: Chief mbona unataka kunibania hiyo connection aise eti wakaoanhebuuuuu Click to expand... Yan Mama angu alivyoulizwa na mzee mahabuba wako yuko wap alijibu kama wewe na mwisho wa siku me ndo matokeo ya hiyo kauli Nazan umepata mwongozo
Chakorii said: Chief mbona unataka kunibania hiyo connection aise eti wakaoanhebuuuuu Click to expand... Yan Mama angu alivyoulizwa na mzee mahabuba wako yuko wap alijibu kama wewe na mwisho wa siku me ndo matokeo ya hiyo kauli Nazan umepata mwongozo
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Dec 27, 2020 #83,016 Chakorii said: labda hana bando Click to expand... Naona kaachiwa bwana kalud kwa mzee baba
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Dec 27, 2020 #83,017 linahbaby said: Click to expand... Naona umelud kwa mpenzi kutoka kwa mpenzi
linahbaby JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 1,087 Reaction score 3,084 Dec 27, 2020 #83,018 Mgirikipanther said: Naona mpenzi wa T 1990 ELY kaenda likizo kwa mpenzi wake Click to expand...
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #83,019 Mgirikipanther said: Naona kaachiwa bwana kalud kwa mzee baba Click to expand... linahbaby naona umerudi mama..safi
Mgirikipanther said: Naona kaachiwa bwana kalud kwa mzee baba Click to expand... linahbaby naona umerudi mama..safi
linahbaby JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 1,087 Reaction score 3,084 Dec 27, 2020 #83,020 T 1990 ELY said: Hapana hajaenda kwa mpenzi weka Mpenzi wake ni mimi tu Click to expand...