Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #82,941 Iceberg9 said: Noooooo way, nini Click to expand... There’s a way jirani..kuja unisugue haya magaga wapaka rangi nao wapumzike huko😅😅
Iceberg9 said: Noooooo way, nini Click to expand... There’s a way jirani..kuja unisugue haya magaga wapaka rangi nao wapumzike huko😅😅
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Dec 27, 2020 #82,942 Chakorii said: Kutoka kwenye baba na mama watoto mpka kwenye ukuukwani kila mtu yuko katika mazingira gani mpka muitane wakuu Click to expand... Hahahahaha.....nimejikuta nacheka kwa sauti ya juu mno. Chakorii bhana sijui unakuwaga una nini tu wewe mkuu Habari za asubuhi mpendwa
Chakorii said: Kutoka kwenye baba na mama watoto mpka kwenye ukuukwani kila mtu yuko katika mazingira gani mpka muitane wakuu Click to expand... Hahahahaha.....nimejikuta nacheka kwa sauti ya juu mno. Chakorii bhana sijui unakuwaga una nini tu wewe mkuu Habari za asubuhi mpendwa
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Dec 27, 2020 #82,943 Chakorii said: Wacha bhana 😅😅😅 Click to expand... Dunia inazunguka.... bado wewe😅🏃
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Dec 27, 2020 #82,944 T 1990 ELY Mkuu maisha tu haya😂 sema inauma sanaa
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #82,945 T 1990 ELY said: Hahahahaha.....nimejikuta nacheka kwa sauti ya juu mno. Chakorii bhana sijui unakuwaga una nini tu wewe mkuu Habari za asubuhi mpendwa Click to expand... Weeeeee usiniambie umecheka kwa sauti!! 😅😅😅huwa sinaga kitu jombaa Ila we mwanangu mchoyo kichizi yani... Umenibania mbuzi na ugali wa kienyeji krismass yote hiyo eti leo ndo unarudi 🤔🤔🤔
T 1990 ELY said: Hahahahaha.....nimejikuta nacheka kwa sauti ya juu mno. Chakorii bhana sijui unakuwaga una nini tu wewe mkuu Habari za asubuhi mpendwa Click to expand... Weeeeee usiniambie umecheka kwa sauti!! 😅😅😅huwa sinaga kitu jombaa Ila we mwanangu mchoyo kichizi yani... Umenibania mbuzi na ugali wa kienyeji krismass yote hiyo eti leo ndo unarudi 🤔🤔🤔
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #82,946 Mgirikipanther said: Dunia inazunguka.... bado wewe😅🏃 Click to expand... Unafikiri naumizaga kichwa mara mbili basi...nikiona mambo hayaendi naanchana nayo naenda mimi😆😆
Mgirikipanther said: Dunia inazunguka.... bado wewe😅🏃 Click to expand... Unafikiri naumizaga kichwa mara mbili basi...nikiona mambo hayaendi naanchana nayo naenda mimi😆😆
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #82,947 Mgirikipanther said: T 1990 ELY Mkuu maisha tu haya😂 sema inauma sanaa Click to expand... 😅😅😅😅😅
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Dec 27, 2020 #82,948 Chakorii said: Unafikiri naumizaga kichwa mara mbili basi...nikiona mambo hayaendi naanchana nayo naenda mimi😆😆 Click to expand... 🙄🙄🙄Nikajua ni kwa T 1990 ELY tu kumbe adi kwako....😂 mpe pole mwenzako sasa...
Chakorii said: Unafikiri naumizaga kichwa mara mbili basi...nikiona mambo hayaendi naanchana nayo naenda mimi😆😆 Click to expand... 🙄🙄🙄Nikajua ni kwa T 1990 ELY tu kumbe adi kwako....😂 mpe pole mwenzako sasa...
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Dec 27, 2020 #82,949 Chakorii said: Weeeeee usiniambie umecheka kwa sauti!! huwa sinaga kitu jombaa Ila we mwanangu mchoyo kichizi yani... Umenibania mbuzi na ugali wa kienyeji krismass yote hiyo eti leo ndo unarudi Click to expand... Hahaha...hata sijakumbania chochote/lolote mkuu. Kwamba toka kwenye umama na ubaba watoto mpaka kwenye ukuu/mkuu
Chakorii said: Weeeeee usiniambie umecheka kwa sauti!! huwa sinaga kitu jombaa Ila we mwanangu mchoyo kichizi yani... Umenibania mbuzi na ugali wa kienyeji krismass yote hiyo eti leo ndo unarudi Click to expand... Hahaha...hata sijakumbania chochote/lolote mkuu. Kwamba toka kwenye umama na ubaba watoto mpaka kwenye ukuu/mkuu
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Dec 27, 2020 #82,950 Mgirikipanther said: Nikajua ni kwa T 1990 ELY tu kumbe adi kwako.... mpe pole mwenzako sasa... Click to expand... Mgirikipanther
Mgirikipanther said: Nikajua ni kwa T 1990 ELY tu kumbe adi kwako.... mpe pole mwenzako sasa... Click to expand... Mgirikipanther
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Dec 27, 2020 #82,951 T 1990 ELY said: Mgirikipanther Click to expand... Naam Mkuuu
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #82,952 T 1990 ELY said: Hahaha...hata sijakumbania chochote/lolote mkuu. Kwamba toka kwenye umama na ubaba watoto mpaka kwenye ukuu/mkuu Click to expand... Sasa mbona ulipotea hewani na vyienyeji vyako?? 😁😁si ndo hapo sasa..au mlikuwa mnalinda njia kuu msimu huu wa sikukuu? Haya ikivuka tarehe 1/1 tukijaaliwa uzima na afya nitaomba majina yenu matamu yarud kwa kishindo.understood
T 1990 ELY said: Hahaha...hata sijakumbania chochote/lolote mkuu. Kwamba toka kwenye umama na ubaba watoto mpaka kwenye ukuu/mkuu Click to expand... Sasa mbona ulipotea hewani na vyienyeji vyako?? 😁😁si ndo hapo sasa..au mlikuwa mnalinda njia kuu msimu huu wa sikukuu? Haya ikivuka tarehe 1/1 tukijaaliwa uzima na afya nitaomba majina yenu matamu yarud kwa kishindo.understood
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #82,953 Mgirikipanther said: 🙄🙄🙄Nikajua ni kwa T 1990 ELY tu kumbe adi kwako....😂 mpe pole mwenzako sasa... Click to expand... Hata simpi pole ..wako likizo ya sikukuu.watarudia hali ya kawaida baada ya sikukuu
Mgirikipanther said: 🙄🙄🙄Nikajua ni kwa T 1990 ELY tu kumbe adi kwako....😂 mpe pole mwenzako sasa... Click to expand... Hata simpi pole ..wako likizo ya sikukuu.watarudia hali ya kawaida baada ya sikukuu
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Dec 27, 2020 #82,954 Mgirikipanther said: Naam Mkuuu Click to expand... Habari ya uzima mkuu
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Dec 27, 2020 #82,955 Chakorii said: Hata simpi pole ..wako likizo ya sikukuu.watarudia hali ya kawaida baada ya sikukuu Click to expand... Mmmmmmmmh
Chakorii said: Hata simpi pole ..wako likizo ya sikukuu.watarudia hali ya kawaida baada ya sikukuu Click to expand... Mmmmmmmmh
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #82,956 T 1990 ELY said: Hahahaha..... Hope utakuwa umenielewaView attachment 1660036 Click to expand... Huu ni ugonjwa Sugu ujue. Tafuta tu hela Chief kufukuza magonjwa nyemelezi😅
T 1990 ELY said: Hahahaha..... Hope utakuwa umenielewaView attachment 1660036 Click to expand... Huu ni ugonjwa Sugu ujue. Tafuta tu hela Chief kufukuza magonjwa nyemelezi😅
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #82,957 T 1990 ELY said: Mmmmmmmmh Click to expand... Jino litakuwa linakuuma..si ndio ee
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Dec 27, 2020 #82,958 Chakorii said: Huu ni ugonjwa Sugu ujue. Tafuta tu hela Chief kufukuza magonjwa nyemelezi Click to expand... Hahahaha....Hela ninazo ila hazitoshi mkuu
Chakorii said: Huu ni ugonjwa Sugu ujue. Tafuta tu hela Chief kufukuza magonjwa nyemelezi Click to expand... Hahahaha....Hela ninazo ila hazitoshi mkuu
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 27, 2020 #82,959 T 1990 ELY said: Hahahaha....Hela ninazo ila hazitoshi mkuu Click to expand... 😳😳uko sawa kweli we msukuma!! Tangu lini pesa zikatosha!!gawaneni hizo hizo zilizopo acha mambo ya ajabu
T 1990 ELY said: Hahahaha....Hela ninazo ila hazitoshi mkuu Click to expand... 😳😳uko sawa kweli we msukuma!! Tangu lini pesa zikatosha!!gawaneni hizo hizo zilizopo acha mambo ya ajabu
geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Dec 27, 2020 #82,960 walking dead